Does Mama Samia have a privilege to constitutionally nominate ten more MPs ?

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,380
2,000
Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.

Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?

Kwa wale hadhira nyingine

As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,357
2,000
Kwa record ya Mama tutarajie mengi bora, angalizopia atashauri wanawake wapambane na sio kupendelewa, jema zaidi tutapata katiba ya wananchi.
 
BISECKO

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
634
1,000
Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.

Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?

Kwa wale hadhira nyingine

As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Nafasi kumi zipo kikatiba na yeye ni Rais kama alivyokuwa mtangulizi wake, hivyo ana mamlaka ya kufanya uteuzi ama utenguzi...
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,004
2,000
Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.

Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?

Kwa wale hadhira nyingine

As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Zingatia, awamu za urais na bunge ni zilezile. Kufa kwa rais hakulivunji bunge.
Samia atateua Mawaziri wapya wala si Wabunge, pia, ikumbukwe, hatavunja baraza la Mawaziri bali baraza la Mawaziri lilikufa natural death baada ya rais kufa na Samia kuapishwa
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
10,631
2,000
Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.

Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?

Kwa wale hadhira nyingine

As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Mkuu Samia Suluhu anamalizia awamu ya tano.Let me make this clear,hii ni awamu ya Magufuli.So kama Magufuli alishateua let's say Wabunge sita,yeye atateua wengine wanne.That's it.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,380
2,000
Mkuu Samoa Suluhu anamalizia awamu ya tank.Let me make this clear hii ni awamu ya Magufuli.So kama Magufuli alishateua let's say Wabunge sits,yeye atateua wengine wanne.That's it.
Sijui katiba inasemaje ila ingekuw vyema akapewa nafasi kumi. Au slzile za awali zife kifo cha asili ili kupisha teuzi zingine kama ilivyo kwa baraza la mawaziri
 
SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
485
1,000
Maana ya mbunge ni mtu aliyechaguliwa kuwakilisha eneo fulani katika nchi, kwa nini tunakuwa na wabunge wanaoteuliwa?
Katiba mpya iondeo hili jambo.
Kuna maeneo Rais anataka wawakilishi ambao ili waweze msaidia rais ni lazima wawe na sifa ya kuingia bungeni,na utaingia bungeni kukaa tu? Hapana ni lazima uchangie mijadala ya namna boss wako kakutuma na hapa ndipo lazima wabunge wakuteuliwa wanapatikana. ili wamsaidie Rais ktk mambo ambayo mtu wa kawaida asie mbunge hawezi yafanya
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
16,112
2,000
BS. Asilimia 90 ya wabunge wa ni chama kimoja,anakosa vipi wabunge wa kuwatuma waseme kile yeye anataka?
Hujaelewa swali langu wala hoja yangu.
Mbunge anapaswa kuwa mtu anayewakilisha RAIA wa eneo fulani, hakupaswi kuwa na mbunge anayemuwakilisha mtu mmoja bungeni.
Kuna maeneo Rais anataka wawakilishi ambao ili waweze msaidia rais ni lazima wawe na sifa ya kuingia bungeni,na utaingia bungeni kukaa tu? Hapana ni lazima uchangie mijadala ya namna boss wako kakutuma na hapa ndipo lazima wabunge wakuteuliwa wanapatikana. ili wamsaidie Rais ktk mambo ambayo mtu wa kawaida asie mbunge hawezi yafanya
 
SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
485
1,000
BS. Asilimia 90 ya wabunge wa ni chama kimoja,anakosa vipi wabunge wa kuwatuma waseme kile yeye anataka?
Hawezi kuwatuma waseme kile yeye anataka kwasababu,wale wabunge wamechaguliwa na wananchi BOSS wao ni mwananchi na wala si Rais, wakati mbunge wakuteuliwa boss wake ni RAIS anafanya kile boss wake amemwagiza wakati wale wengine wanafanya kile maboss zao (wananchi) wamemwagiza.
hakupaswi kuwa na mbunge anayemuwakilisha mtu mmoja bungeni.
Kunapaswa kuwe na mbunge anaemuwakilisha Rais, haiwezekani Rais kuja kukaa bungeni ndio mana anapewa nafasi ya kuchagua wabunge 10,atao ona yeye akawaweke wapi,ndio mana wabunge wengi wakuteuliwa hupewa u waziri Katiba hairuhusu mtu asie bunge kuwa waziri,sasa Rais asipoona mtu anaefit nafasi ya u waziri wa sehemu flani ndio anakuchukua hata wewe bwana Yoda uwe mbunge halafu anakupa uwaziri.
 
George Dalali

Member
May 3, 2014
40
150
Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.

Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi kama hiyo ya uteuzi wa nafasi kumi kikatiba kwa sasa? Au nimpaka hao waliokwisha kiteuliwa wapoteze nafasi zao?

Kwa wale hadhira nyingine

As you know, Magufuli had already elected his ten MPs for his term. now I ask if samia also has a similar position for the rest of the constitutional years?
Bonge la swali. Ngoja tupitie mijarabati

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
16,112
2,000
Unaelewa maana ya mbunge "member of parliament"?
Hawezi kuwatuma waseme kile yeye anataka kwasababu,wale wabunge wamechaguliwa na wananchi BOSS wao ni mwananchi na wala si Rais, wakati mbunge wakuteuliwa boss wake ni RAIS anafanya kile boss wake amemwagiza wakati wale wengine wanafanya kile maboss zao (wananchi) wamemwagiza.

Kunapaswa kuwe na mbunge anaemuwakilisha Rais, haiwezekani Rais kuja kukaa bungeni ndio mana anapewa nafasi ya kuchagua wabunge 10,atao ona yeye akawaweke wapi,ndio mana wabunge wengi wakuteuliwa hupewa u waziri Katiba hairuhusu mtu asie bunge kuwa waziri,sasa Rais asipoona mtu anaefit nafasi ya u waziri wa sehemu flani ndio anakuchukua hata wewe bwana Yoda uwe mbunge halafu anakupa uwaziri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom