Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

THE GAME CHANGER "Kutokana na taifa kutonufaika ipasavyo na utajiri na maliasili za nchi. Serikali ya awamu ya Magufuli ilichukuwa hatua mahususi ya kuimarisha mfumo wa kisheria ili kulinda...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Naona wanaCCM wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawaringishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni...
60 Reactions
198 Replies
15K Views
Katika Diwani yake ya "Kalamu ya Mapinduzi" Mohammedi K. Ghassani anaandika hivi kuhusu ahadi za jukwaani: "Ahadi za jukwaani, ni kama za kitandani Zote zipime kichwani, kabla hujaamini Ukadhani...
1 Reactions
0 Replies
950 Views
Kesi ambazo sio za msingi ni wakati wa kuzifuta hasa kwa upinzani. Kesi nyingi ni za kuongea au kumpinga Hayati Magufuli kimawazo lakini DPP amegeuza kuwa kesi za uchochezi. Lakini hata kisheria...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Mabibi na mabwana safu ya juu kimsingi imekamilika. Sura zote mbili hizi ni mpya: 1. Samia ni mtaka maridhiano, muungwana na aliyedhamiria kupambana na wapigaji. 2. Dr. Mpango ni muungwana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi.
25 Reactions
186 Replies
15K Views
Wakuu baada ya kuwasalimia kwa kutanguliza uzalendo kama tunavyohimizwa na viongozi wetu, ningeomba kuiba muda wenu kidogo. Nikiwa kama kijana wa nchi hii nafuatilia siasa zetu ili kufahamu...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge. Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Leo katika zoezi la kuthibitishwa kwa jina la Makamu wa Raisi Bungeni Jijini Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, alipata wakati mgumu wa kati amruhusu kwanza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe, Dkt...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania. Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa...
100 Reactions
127 Replies
13K Views
Aliyeishia darasa la nne ni Mtanzania Aliyekataa kusoma ni Mtanzania pia Machinga ni Mtanzania Wauza Azam lambalamba ni Watanzania Sandia fundi ni Mtanzania Makahaba pia ni Watanzania Ombaomba ni...
7 Reactions
126 Replies
7K Views
1. Janga la Job Ndugai kuendelea kuwa speaker wa Tanzania. Hili ni kubwa tufanyeni tu maombi lisiendelee kutesa Watanzania. 2. Janga la Emmanuel Nchimbi kuja pewa nafasi ya VP hili janga...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo katika bunge, kipindi cha maswali na majibu, nimemuona Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini, Mheshimiwa Steven Byabato akijibu maswali kwa umahiri sana. Anaonekana anajiandaa...
1 Reactions
4 Replies
846 Views
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza...
40 Reactions
399 Replies
30K Views
Habari wanaJukwa, Tukiwa bado tuna uhuru wa kutoa maoni na kumshauri kiongozi wetu wa nchi. Pale Wizara ya Afya tunahitaji mtu mwenye uthubutu na kusimamia ethics za tiba. Wakati wa wimbi la...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Kulingana na katiba ya JMT(1977) inaelekeza kuwa ikitokea Rais aliepo madarakani akapatwa na tatizo ambalo litamfanya kua nje ya ofisi ikiwepo na kifo basi Makamu ataapishwa kua Rais wa JMT. Hapa...
7 Reactions
141 Replies
15K Views
Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi. Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wapinzani wa CCM wakijipanga vizuri huu ndiyo wakati wa kuchukua nchi kwa mafungu mafungu. ACT ZNZ wamemaliza na bado Kwa Mpango wakitangaza wakaulize na wengine watakaotemwa. Wajipange kuongea...
0 Reactions
3 Replies
664 Views
Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake. Amesema iwapo...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom