Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 644
- 1,482
Kumbukumbu zangu zinaniambia Hayati Magufuli tangu alipoapishwa Dodoma Dec 2020 alihamia CHATO na kuishi huko na kusaini mikataba ya SGR na shughuli nyingine hadi alipoanza ziara katika mkoa wa Kagera .
Magufuli amerudi Dar February kwa ajili ya shughuli za mazishi na ziara ya mkoa wa Dar. Wiki mbili baadae zikaanza fununu kuwa kafariki wiki iliyofuata ikathibitishwa kuwa kafariki.
Je, alikuwa anaigopa Ikulu ya Dar?