EL MUST GO Nasema hivi inatosha LOWASSA Rudi

bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,030
5,772
Naomba ku declare kuwa mimi ni mwana mabadiliko muumini wa haki na usawa. Tangu kuja kwa EL speed ya Chadema imepungua Sana EL alisema anataka kuintransform chadema kiwe cha kinachofanya modern politics this is too contrary with his main objective .

Lowassa Edward Ngoyai is killing opposition parties slowly via Chadema . Mpaka itakapofika 2019 kazi yake anayofanya itakuwa imekamilika kwa 98.5%. Ni muda muafaka wa yeye mwenyewe kurudi alikotoka kwani asilimia kubwa ya wale aliokuja nao wamesharudi na wengine wanaendelea kurudi. He better go back.

Lowassa rafu zake tunazijua kabisa ila kwa watu wasio mfahamu mnaweza mkadhani EL ni smart politician this is big NO. Sitaki kueleza mengi EL ebu jitathmini alafu uchukue maamuzi magumu haraka kwa maslahi mapana ya ukuaji wa demokrasia huko nchini kwetu.

Little sister (Aquillina) May Lord rest your heart in Eternal Repose. Amen.

[HASHTAG]#ELmustGo[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom