Sawa muongezeeni tu huo muda huko alipo sasa hivi. Mnavoongea kama mna mkataba na mungu kwamba angetoboa mpaka 2030.Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
nazidi kuamini... kuna mambo hayatokei kwa bahati mbaya.Inabidi tupate wa kutukwamua tulipokwama kimaendeleo na msomi wa uchumi ni mtu muafaka kwa hilo
Dkt. Philip Isdory Mpango mwanasiasa wa kutumaini
Mipango ya Mungu haina makosaaaaa.Sawa muongezeeni tu huo muda huko alipo sasa hivi. Mnavoongea kama mna mkataba na mungu kwamba angetoboa mpaka 2030.
popote ulipo agiza NOVIDA na KarangaInabidi tupate wa kutukwamua tulipokwama kimaendeleo na msomi wa uchumi ni mtu muafaka kwa hilo
Dkt. Philip Isdory Mpango mwanasiasa wa kutumaini
😂😂😂Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
... Mungu amekataa hilo! Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa fadhila na neema zake za ajabu!Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
Yap,ni mipango yake yeye aliye juu ya yote akuna wa kupinga.... Mungu amekataa hilo! Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa fadhila na neema zake za ajabu!
Mambo ya nje apewe Rose Migiro, Michezo Tarimba, Ardhi aache Mzee Lukuvi anaitendea haki.Mipango safi,fedha apewe Kimei, sheria apewe Rose Migiro,Tamisemi apewe Mtaka wa Simiyu.Jafo apewe wizara nyingine,Mambo ya nje Makamba.
Afya Ummy au Ndungulile.Katambi,waitara,silinde hawa mda wao wa kuunga juhudi umeexpire rasmi trh 17 march walifaa kwenye zama za ubabe na propaganda na sio hizi zama za uwazi na ukweli haki na weledi