WIKILEAKS: Mkapa alipinga Article 98 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WIKILEAKS: Mkapa alipinga Article 98

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by threadcritic, Sep 4, 2011.

 1. t

  threadcritic Member

  #1
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Mkapa na JK walikuwa na mawazo tofauti on this issue. The rest ndio hiyo habari ya kuchukuliwa Kigamboni. Najiuliza ilikuwaje Mkapa alikuwa na uwezo wa kuwatolea nje hawa waamerika pamoja na presha zao?

  Article 98 ---------- 3. (C) Minister Migiro took time out from the six-day ministerial retreat in Arusha chaired by President Kikwete (Ref A) and met with Ambassador Retzer to discuss peacekeeping and UN issues. The Ambassador outlined Ref B demarche and the advantages of concluding an Article 98 agreement with the United States. Migiro noted that as a signatory to the Rome Statute, Tanzania is committed to following the spirit of the agreement. The Ambassador pointed out that Article 98 had been included in the Rome Statute based on the understanding that a need for exceptions might arise. He emphasized that all but one of Tanzania,s neighbors (Kenya) have entered into Article 98 agreements with the U.S and have subsequently benefited from military training and military equipment grants that would otherwise not have been available. As the U.S and Tanzania,s bilateral military to military relationship grows, he noted, such opportunities could be augmented if Tanzania signed onto an Article 98 agreement. Migiro said she would look into the issue further and follow-up with the Ambassador.


  Cable Viewer
   
 2. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahith kidhungudhungu thatha. Jaman hii njaa ya kaya kikwikwi thi itathadamiwa kabitha ikitoka?
   
 3. t

  toby ziegler Senior Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  naona thread ya Cables imefungwa BILA SABABU

  inaonekana JF sasa ishafika ukingoni

  Ukianzisha thread mpaka ifanyiwe editing...

  zinaletwa tuhuma za trilioni 3 bila ushahidi

  wikileaks cables japo zipo open lakini zinachakachuliwa

  mbona hamtujuzi kulikoni?
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hee, imeshafungwa. Tlulikuwa bado tunadadavua.
   
 5. t

  toby ziegler Senior Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi bado niko kwenye Cable kwenye page 5 nafkiri na jamaa wanazungumzia walivyotuhonga ili kuweza kupata AFRICOM japo bado I;m still trying to disseminate the cable data regarding article 98

  [​IMG]
  Halafu inaonekana kumbe Foreign walikuwa na watu ma competent kama balozi LIBERATA MULAMULA maana nasoma exchanges na hawa hjamaa regarding HAMAS, IRAN, IAEA, SUDAN, na mengineyo...it looks like she never gave these Americans any carte Blanche

  That can also be said of Aha Migiro alipo wa tell off siku za mwanzo alipoingia Foreign.Lakini pia inaonyesha kuwa its not as easy as it looks kule foreign ambako kuna kazi nyingi na hasa Tanzania inapokuwa kwenye Security Council and the pressure tunayopata toka kwa hawa jamaa ni ya ajabu sana na hasa hii ya airspace yetu na hiyo Article 98.

  Lakini pia I sence some sort of arrogance na superiority complex ambayo wanaileta kwa ma ofisa wetu wanaodeal nao na wanapokutana na waliokuwa wameenda shule vizuri huwa wanashtuka sana na hasa wanapopewa demarches zisizo wazi toka kwetu

  mie niko page 5 out of 14 of the cables


  SUBJECT: AFRICOM CIVIL AFFAIRS TEAM'S SUCCESS ON THE SWAHILI COAST REF: A. DAR ES SAL 236 B. DAR ES SAL 235

  http://www.wikileaks.ch/cable/2009/12/09DARESSALAAM868.html
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hata rais ajaye itakuwa vigumu kuitawa tanzania kwani inanuka na mikataba yenye kuleta vita
   
 7. t

  toby ziegler Senior Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwanini threads zingine zimefutwa?
   
 8. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 886
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Kuipinga pinga Marekani kwa kila kitu siyo sifa kama watu wanavyofikiri. Hasa ukiwa ni nchi isiyojiweza kama Tanzania. Watu wanatushangaa na kutuacha tufe masikini jeuri na kujitutumua kwetu huku.

  Kama umemsoma Niccolo Machiavelli, utagundua kuwa unatakiwa u-seek alliance na tawala zenye nguvu zaidi yako na kupambana na zile tawala ambazo ziko saizi yako.
   
 9. t

  toby ziegler Senior Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  lakini reading btw the lines utaona kuwa kuna watu bado ni mapatriotic wa nchi hii pamoja na mishahara mbuzi wanayolipwa na wamekuwa mstari wa mbele kulinda heshma yetu regardless of the pressures and for that I'm proud of them
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0

  sidhani kama bado yuko Foreign bado huyu mama
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kazi kwelikweli!!!!!!!
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  wala hamna kazi
   
 13. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,485
  Trophy Points: 280
  umbea mtupu!
   
 14. a

  arigold JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini

  mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?

  [​IMG]


   
Loading...