Nampendekeza huyu kuwa katibu mkuu wizara ya afya!!

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Huyu Bwana ni mchapakazi mzuri sana.
Alikuwa Dar-es Salaam(sikumbuki Halmashauri gani), Akahamishiwa Singida kuwa Katibu tawala wa Mkoa then akaenda Morogoro.
Mwaka jana aliteuliwa kuwa k/katibu mkuu kabla ya kuwa katibu mkuu kamili wa Wizara ya Maendeleo ya jamii na watoto na sasa ni Katibu mkuu TAMISEMI.
Huko kote alikopita amekuwa mchapakazi mzuri sana kwa mfano mkoa wa singida na Morogoro alihakkikisha kwamba analipa madai yote ya malimbikizo ya wafanyakazi wa AFYA, amesimamia vizuri sana ujenzi na uboreshaji wa Hospitali za mikoa-Singida na Morogoro ndani ya muda mfupi sana....Ndipo Mheshimiwa Raisi akamwona na kumpandisha cheo

Bwn. Hussein Katanga!! nadhani anafaa kuchukua kiti cha Blandina Nyoni
 
Mpigie Baba umwambie atampa tu si Bwana HASSAN....
 
Hussein Katanga akawarudishie kwanza shamba lao wale vijana yatima aliowadhulum kule mlandizi
 
naunga mkono hoja huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wilaya ya mbinga,alifanikiwa kununua magari mengi ,alitengeneza barabara zote za wilaya,upande wa elimu wilaya ilikuwa nafasi ya nne kwa kipindi kirefu,baadaye aliteuliwa kuwa mfanyakazi bora sikumbuki mwaka,pia baada ya kazi nzuri alihamishiwa ILALA manicipal.Niseme kitu hapa mkoa wa Ruvuma toka enzi ya Mwalimu haukuwahi kuwa na kiongozi kama yeye Hussen Katanga,na mkuu wake wa mkoa Said Said Kalembo,Katanga ni Kiongozi hasa sio mtawala,walimu wa mbinga na watumishi wengine kilasiku wanamkumbuka sana,wakuu mtanisamehe kwa kiswahili changu.
 
Huyu Bwana ni mchapakazi mzuri sana.
Alikuwa Dar-es Salaam(sikumbuki Halmashauri gani), Akahamishiwa Singida kuwa Katibu tawala wa Mkoa then akaenda Morogoro.
Mwaka jana aliteuliwa kuwa k/katibu mkuu kabla ya kuwa katibu mkuu kamili wa Wizara ya Maendeleo ya jamii na watoto na sasa ni Katibu mkuu TAMISEMI.
Huko kote alikopita amekuwa mchapakazi mzuri sana kwa mfano mkoa wa singida na Morogoro alihakkikisha kwamba analipa madai yote ya malimbikizo ya wafanyakazi wa AFYA, amesimamia vizuri sana ujenzi na uboreshaji wa Hospitali za mikoa-Singida na Morogoro ndani ya muda mfupi sana....Ndipo Mheshimiwa Raisi akamwona na kumpandisha cheo

Bwn. Hussein Katanga!! nadhani anafaa kuchukua kiti cha Blandina Nyoni

huyu jamaa namfaham ni bora hata mwana...jakaya kikwete aliyeiaibisha feza girls.mweupeee
 
Naunga mkono hoja, huyu jamaa alikuwa MD Kinondoni na wala siyo Ilala kama ilivyoelezwa mwanzo, jamaa ni mchapakazi kweli na ndiye aliyeanzisha (Kinondoni bila uchafu inawezekana)
Nakumbuka siku moja alimuambia Londa wakati huo Londa akiwa Meya wa kinondoni kuwa mchezo wake wa kuchukua waandishi wa habari kila anapoenda na kuamuru walipwe na Halmashauri siyo sahihi na akatamka waziwazi kuwa "next time utatoa za kwako mfukoni"
Baadaye akawapiga marufuku madiwani kushinda kwenye ofisi za Halmashauri na kuwataka wakawahudumie wananchi kwenye kata zao.
Wakamuundia zengwe akahamishwa. Akipewa huyo nitaunga mkono jamaa ni mchapa kazi sana.
 
Hata pale wizarani kuna watu wazuri ambao wanaweza kuwa elevated kwenye hiyo position, siyo lazima kuchukua mtu toka nje.
 
Mungu atujalie, hyo Hussein kama ni kwel Mungu amwangazie zaidi ktk utumish wke!JK wacha ukuda teua mwny sifa atwongoze!
 
Naunga mkono hoja, huyu jamaa alikuwa MD Kinondoni na wala siyo Ilala kama ilivyoelezwa mwanzo, jamaa ni mchapakazi kweli na ndiye aliyeanzisha (Kinondoni bila uchafu inawezekana)
Nakumbuka siku moja alimuambia Londa wakati huo Londa akiwa Meya wa kinondoni kuwa mchezo wake wa kuchukua waandishi wa habari kila anapoenda na kuamuru walipwe na Halmashauri siyo sahihi na akatamka waziwazi kuwa "next time utatoa za kwako mfukoni"
Baadaye akawapiga marufuku madiwani kushinda kwenye ofisi za Halmashauri na kuwataka wakawahudumie wananchi kwenye kata zao.
Wakamuundia zengwe akahamishwa. Akipewa huyo nitaunga mkono jamaa ni mchapa kazi sana.

namshukuru muanzisha mada.mawazo yako kumhusu katanga nimeyapenda.naisi kuna watu watakuja na mawazo kumhusu katanga zaidi yako.tz inaitaji watu kama hawa ingawa ukiwa mchapa kazi,kwa watz wewe utachukiwa sana
 
Back
Top Bottom