Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,779
- 18,746
Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu.
Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.
Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi.
Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.
Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake.
Tatu vyombo vya habari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotub za Samia, sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president.
====================================================
edit
Mama kalivunja baraza la mawaziri leo na katamka rasmi kuwa hii ni awamu ya 6, so akimamaanisha kuwa hii ndio first term yake na hivyo ana nafasi kubwa ya kupiga 10