Tanzania: In Search of the Talented Tenth - Kuwatafuta Moja ya Kumi Wenye Talanta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: In Search of the Talented Tenth - Kuwatafuta Moja ya Kumi Wenye Talanta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Companero, Sep 2, 2009.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Baada ya kumbishia sana Zakumi kuhusu dhana ya William E. B. Du Bois kuhusu Moja ya Kumi wenye Talanta sasa nimeongoka. Nimeitafakari sana. Nimeijadili sana. Nimeihoji sana. Sasa nakubali kabisa kuwa ili Tanzania iendelee inahitaji asilimia 10 ya watu wake ambao ndio watakuwa injini ya kuiendeleza na sisi wengine (90%) tutafuatia. Tayari sehemu hii ya 10 imeshaanza kazi hiyo ila kinachohitajika ni kuwatambua na kuunganisha nguvu zao kwa pamoja ili zilete haraka mabadiliko makubwa ya kiuchumi, kisiasa kijamii, kiutamaduni, kisayansi na kiteknolojia hapa Tanzania.

  Nimeamua kuanza jukumu hilo na naamini Zakumi na wadau wengine mtashirikiana nami. Ikumbukwe kuwa Tanzania ina watu takribani milioni 40, yaani 40,000,000. Hivyo kwa mahesabu ya haraka haraka asilimia 10 ya watu hao ni watu 4,000,000 yaani watu milioni 4. Natumai server ya JF inatosha kuhifadhi database ya watu hao. Watu hawa wako katika nyanja mbalimbali ambazo zikiangaliwa kwa pamoja kama sekta mtambuka basi zitatusaidia kuweka vipaumbele vya maendeleo sawa. Kwa kufungua database yetu naanza na watu 10 ambao hakika ni sehemu ya 1 ya 10:

  1. Prof. Keto Mshigeni - Scientist/Botanist
  2. Hon. Zitto Kabwe(MP) - Economist-cum-Politician
  3. Hasheem Thabeet - Basketball Superstar/Philanthropist/Role Model
  4. Prof. Benno Ndulu - Economist/Bank Governor
  5. Issa Michuzi - Photographer/Journalist/Blogger
  6. Dr. Asha-Rose Migiro - Lawyer/Diplomant
  7. Erasto Mpemba - Discoverer/Physicist
  8. Dr. Thomas Neligwa -Computer Scientist/Mathematician
  9. Liberata Mulamula - Administrator/Diplomat
  10. Hon. Stella Manyanya (MP) - Electrical Engineer-cum-Politician

  Angalizo: Hii sio mada ya Celebrity Forum - ni maada ya 'Siasa-Uchumi' (Political Economy) ya kutumia 'Talented Tenth' yetu kama 'zaka' ya kuleta a 'A Political/Governace, Social/Cultural, Economic/Financial and Scientific/Technological Revolution'.
   
  Last edited: Sep 3, 2009
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hili ndio tatizo letu. Yaani hii orodha yako imejaa wachovu wachovu tu. Kama hawa ndio sehemu ya 1 ya 10 basi tena...we are doomed.


  Huyu opportunistic flip-flopper. Halafu kwa nini unamwita mchumi? Hebu tuwekee resume yake hapa tuone kama anastahili kuitwa mchumi huyu.


  Huyu ame accomplish nini huyu? Kuwa drafted kwenye NBA kunamfanya umweke kwenye orodha ya 1 ya 10 yako? What the hell.....


  Sasa ukimwita huyu mchumi sitakubishia. Siyo Zitto.

  You can't be serious. Ni bora hata ungemweka John Mashaka au plagiarist Dr. Shayo kuliko huyu dunce anayepiga mapicha na ma dildo.

  I got mad respect for her.

  Ally who?

  Companero sikiliza, umewaacha watu wengi muhimu sana. Kwa mfano, kwa nini hujamweka Prof. Isaria Kimambo kwenye orodha yako? Huyu jamaa mchango wake kwenye UNESCO ni mkubwa sana. Ila umeamua kuwaweka clowns kama Michuzi. Mchango wa Michuzi ni nini? Kupiga picha ma mi dildo?
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nyani Ngabu acha jazba. Tulia, tafakari, chukua hatua. 1 ya 10 ya Watanzania ni watu 4,000,000. Hao niliowaweka ni kifungua pazia tu. Prof. Isaria Kimambo namkubali sana na tafiti zake kuhusu historia ya Wapare zinanisaidia sana katika kujenga nadharia ya Ujamaa Mamboleo. Hakika huyo naye ni sehemu ya hiyo 4,000,000 hivi anaingia moja kwa moja.

  NN kumbuka hapa tunaongelea watu ambao ni viongozi/vinara hasa katika fani/maeneo yao. Kwa mfano, Hasheem ndio kinara katika Mpira wa Kikapu kwa Watanzania na maadam michezo ni sehemu muhimu ya jamii anapaswa kuwemo kwenye hiyo orodha. Hali kadhalika Michuzi ambaye anaendesha blogu maarufu kuliko zote hapa nchini na yenye wadau wengi. Hata Invisible anapaswa kuwemo humo ila sijapata wasifu wake kamili.

  What the talented tenth is all about is influence in, and command of respect from, the society. It a groupg of people who are leaders in their respective areas and very influential to/on others. These people as a group can act as a catalyst for change and influence us to follow suit.
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Commandante:

  Nadhani ni zaidi ya miaka minne sasa toka tujaridi hili. Katika kipindi hicho mijadala mbalimbali imezuka. Mmoja ukiwa ni ule wa Dr. Malima Bundala, Ndivyo Tulivyo.

  Vilevile katika kipindi hiki cha miaka minne nime-graduate katika perispectives zingine pia. Lakini pamoja na yote hayo Talented Tenth iliyoandikwa na W. E. B. Du Bois mwaka 1903 bado ni Analysis nzuri kwa nchi zinazotaka kupiga maendeleo kwa kutumia engineering kama Tanzania.

  Mpaka sasa juhudi kubwa zinafanyika kuelimisha watu lakini configurations za watu wenye elimu wafanye nini imekuwa kitendawili mpaka sasa. Na hapa ndipo linapokuja swali la minimum requirements ya nchi ku-launch development revolution or Renaissance. Je Tanzania imeshafikia minimum requirements?
   
 5. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Bado sijaelewa vigezo ulivyotumia ku-propose hayo majina. Tupe maelezo kidogo.

  "Someone who is talented has a natural ability to do something well."

  Badilisha title ya hii thread ili tuweze kuchangia vizuri.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hakuna jazba hapa. Ni kwamba, baadhi ya hao uliowataja sidhani kama wana belong kwenye first tier ya 1 ya 10! Watu kama Prof. Emeritus Kimambo, Prof. Frederick Kaijage, Prof. Sheya n.k. ndio watu ambao wana belong kwenye first tier ya hiyo 1 ya 10, kwa mtazamo wangu.

  Huyu Hashimu bado haja accomplish chochote. Huko NBA anaweza akaja akawa bust tu. Kwa hiyo ni mapema sana kumweka kwenye 1 ya 10 kwa sasa. Jamaa hata haja shoot hata jump shoot moja kwenye ligi tayari unamweka kwenye 1 ya 10....come on man. Akija kuwa bust na kutoswa na timu za NBA wala hutakuja kumsikia tena. The jury is still out on him.

  You can put Mwanakijiji in place of Michuzi.

  I don't know in what quarters Michuzi commands respect by posing with a dildo. Maybe in your circles but definitely not mine. What in the world was he thinking?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Comp., umesema Zitto ni mchumi cum politician. Nataka kujua kwa nini umemwita mchumi?
   
 8. Companero

  Companero Platinum Member

  #8
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Farmer: Soma nadharia ya Du Bois kuhusu 'talented tenth' kwenye link hiyo utaelewa hapa ina maana gani.

  Nyani: Hiyo sio 1 tier - ni arbitrary list, baadaye tutawapanga kwa professions na hizo tier zako.

  Zakumi: Nitarejea swali lako, ngoja kwanza niende kuonana na talented tenth wa 'sekta ya harakati'.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Heheheheheee...haya bana...ila hizi njozi zako zimeanza kuwa burudani ya aina yake kila siku!!
   
 10. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  He is in possession of a Degree in Economics from UDSM... i think
   
 11. M

  Mzee Mwafrika Senior Member

  #11
  Sep 2, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 168
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kuhusu Ally Mpemba mbona sijawahi kumsikia?Labda unamzungumzia Erasto B Mpemba aliyegundua Mpemba effect kipindi anasoma Magamba Sekondari![ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Mpemba_effect"]Msome hapa[/ame]
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Alihitimu lini?
   
 13. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Nyani Ngabu:

  Kwa upande wangu watanzania wengi bila kutaja majina yao wanaweza kuchangia maendeleo ya nchi. Matatizo yanayokuja ni kuwa na petty policies ambazo sio sustainable kwa muda mrefu.

  Nimefanya kazi za kubeba mabox Sweden, UK, Marekani na sijaona kama shughuli za kubeba mabox ni kitu cha watanzania kushindwa. Wenzetu kuna research & development, na kuna production. Kwenye research & development vichwa vizuri vichache vinakaa na kufanya utafiti wa nguvu. na utafiti ukishakamilika unatumika kwa mass production bila kutumia akili nyingi.

  Mimi kama mkulima wa mahindi Tanzania, si muhimu kwangu kujua bailojia ya mimea. Au kutumia zaidi ya siku moja kujifunza kulima mahindi. Wataalamu wanaweza kufanya research zao na kuniletea A, B, C za kulima mahindi. Ninachotakiwa ni kufuata tu.

  Kusomea ubwana au ubibi shamba ni miaka miwili. Huku ni kupoteza muda na resources tu.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa Zakumi. Kuna watu wengi wenye vipaji bila umaarufu na kwangu mimi maendeleo wajibu au jukumu la ujumla (collective responsibility). Kila mtu anatoa mchango wake.

  Haswa! Mimi hapa warehouse kuna meneja wa stratergy na vision ambaye job description yake ni tofauti na hao watu wa R&D. Wenzetu wanakuwa na dira na mwelekeo wa wapi wanataka kampuni yao iwe ktk miaka mitano, kumi, ishirini, na thelathini ijayo.

  Tuna safari ndefu sana.
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,019
  Trophy Points: 280
  Companero,

  ..kwa kweli watu 10 ni wachache mno. nimejaribu kudonoa frm every field. but these 15 are diverse and interesting.

  1.Prof.Joseph Shija -- Surgeon

  2.Prof.Samwel Mwita Wangwe -- Economist/Researcher

  3.Prof.Keto Mshigheni -- Biologist

  4.Prof.Isaria Kimambo -- Historian

  5.Dr.Ramadhani Dau -- CEO

  6.Jenerali Ulimwengu -- Journalist/Writer

  7.Rished Bade -- Banker

  8.Prof.Sospeter Muhungo -- Geologist/Academician

  9.Idi Simba -- CEO/businessman

  10.Said Bakhresa -- CEO/Philanthrophist

  11.Prof.Anna Tibaijuka -- Academician/Diplomat

  12.Lt.Col.Juma Ikangaa -- sports figure

  13.Dr.Jabiri Bakari -- ICT/Mathematician

  14.Dr.Marina Njelekela -- surgeon

  15.Ambassador.Anthony Nyaki -- Civil Servant/Diplomat

  NB:

  ..i just cant find any politician to fit into the list!!!
   
  Last edited: Sep 2, 2009
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Sep 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280


  Now you are talking....

  Wengine kwa haraka haraka...

  Mbaraka Mwinshehe - Musician
  Augustine Mahiga - Diplomat
  Yule dogo wa Salim (sijui ni Mtanzania au la ila shule yake ni impressive) - Surgeon
  Filbert Bayi - Athlete
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Sep 2, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,019
  Trophy Points: 280
  Nyani Ngabu,

  ..kuna wengi sana lakini nimejaribu kuwapa kipaumbele walioko nchini sasa hivi.

  ..dogo wa Salim anafaa, pia kuna Mzee mmoja anaitwa Prof.Francis Mwaisela [neurophysiologist] naye ni shoka. yuko mama Dr.Winnie Shumbusho Mpanju ni Director WHO, na Prof.Maeda msaidizi wa Sokoine,Mwalimu, he just retired frm UN.

  ..
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  If I may ask.....ume tumia vigezo gani kulist hao watu kumi? Maana wengine siwajui kwa hiyo inabidi niulize wana sifa gani za kuwekwa hapo na kuna wengine kama Mheshimiwa Zitto najua kabisa hawa stahili kuwepo kwenye hiyo list.

  By the way definition yako ya talent ni ipi?
   
 19. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Huyu si marehemu? How did he make the list? I know he was very talented but I thought we were looking at the 10% who will be the driving force of Tanzanian development. Na Filbert Bayi is past his prime.
   
 20. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hashimu role model, wa nini, kushika crotch na ku tweet amefeli drug test?

  Prof Ndulla huyu aliyekuwa chini ya Balali muda wote ufisadi unaendelea BOT?

  What is the point of this thread anyway? the entire premise is unforgivably copy paste of some petty top-down black bourgeoisie in W.E.B. Isn't this the same model we have had since independence?

  What we need is a paradigm shift, a transformation of the matrix, from top down to bottom up.

  I would rather pump some Booker T Washington with some modern day Garveyites.
   
Loading...