Bado nafasi mbili wazi Katibu Mkuu CCM na Waziri wa Fedha, hivyo January, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwigulu vuteni subra

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,840
2,000
Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.

Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi.

Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa Fedha.

Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,978
2,000
Tunahitaji mtu ambaye ana experience na masuala ya fedha , hatuitaji politician , hatuhutaji kuitwa wanyonge tena, hatuhitaji kuitwa maskini tena, mana watu wanakutwa na viroba vya dola majumbani, tunahitaji watu ambao hawatalamba viatu vya mteuzi ila atapiga kazi, kusifu na kuabudu tumezika rasmi tarehe 26.
 
kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
6,162
2,000
Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.

Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.

Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.

Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!

Maendeleo hayana vyama!
Atakuja usiemdhani
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,401
2,000
Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.

Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.

Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.

Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!

Maendeleo hayana vyama!
Sasa ndugu mwandishi unamtaka Dotto James au unawataka hawa wengine ?
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,687
2,000
Labda huko ktk chama nafasi ya katibu wa chama lakini sio uwaziri wa fedha....
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
7,944
2,000
Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.

Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.

Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.

Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!

Maendeleo hayana vyama!
Mimi ndo sipo hapo
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,529

Hawawezi kupata, VP Mpango ndiyo atapendekeza mrithi wake na mama atamsikiliza, wale wanamtandao wasahau kabisa, wamejiharibia wenyewe
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,529
2,000
Tungekuwa na katiba inayoruhusu uundwaji wa Serikali ya pamoja na vyama vya upinzani basi kuna majenbe mazuri mno yapo yametulia tu huko!!
Kama mnashindwa kumtambua rais aliyeko madarakani na kukubaliana na miradi ya kimkakati mmebaki kupinga nani atawapa ushirikiano.

Badilikeni vinginevyo mtasubiri sana, Wazanzibari wamegundua kuwa siasa zimewachelewesha sasa hawataki tena vurugu za kisiasa.

Umeona jana uchaguzi kule ACT kachukua na bado vyama vyote vimekubali matoke kwa maslahi ya zanzibar, lakini kwa siasa za bara mpaka upinzani ujifunze.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom