Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo...
IMG-20210331-WA0116.jpg
 
Wale kila Mbunge anampa Mbowe laki 5 kila mwezi.. Sasa fanya wabunge 20 × 500,000.

We unafikiri kuna Mchagga mjinga?? Hizo wanagawana Mbowe na Lema akina Mnyika wameachwa waimarishe chama
Hahahaha kweli kuishi mjini kunahitaji mipango
 
Back
Top Bottom