Kama Magufuli hakuvaa viatu vya Kikwete, mama Samia hawezi kuvaa viatu vya Magufuli

cityzen

Member
Mar 21, 2021
52
64
Habari wakuu

Tufike muda tuache mihemko, kwanini tuanze kumpangia Mh Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Samia kuvaa viatu ambavyo wengine hawakuvaa.

Nani aliyevaa viatu vya Nyerere baada ya kifo ..

Nani alivaa viatu vya Mwinyi. Je, Mkapa ?

Huyu ni mheshimiwa Rais kuanza kumlazimisha kuvaa viatu ambavyo sio saa hizi yake sio sawa.

Tumuache achape kazi kadili ya uwezo wake.

Mama Samia chapa kazi, piga kazi sawasawa kulingana na maono yako juu ya watanzania.

Watanzania tunakuamini, unaweza ,tuko na wewe

Uzi tayari.
 
Hivi jiwe nalo lilikuwa linavaa viatu!? Mimi nililiona likiwa peku peku😂😂
Habari wakuu

Tufike muda tuache mihemko ,kwanini tuanze kumpangia MH raisi wa jamhuru ya muungano wa Tanzania samia kuvaa viatu ambavyo wengine hawakuvaa ..

Nani aliyevaa viatu vya nyerere baada ya kifo ..

Nani alivaa viatu vya mwinyi ,je mkapa ?

Huyu ni mheshimiwa raisi kuanza kumlazimisha kuvaa viatu ambavyo sio saizi yake sio sawa ..

Tumuache achape kazi kadili ya uwezo wake ...

Mama samia chapa kazi ,piga kazi sawasawa kulingana na maono yako juu ya watanzania ...

Watanzania tunakuamini ,unaweza ,tuko na wewe

Uzi tayari
 
Habari wakuu

Tufike muda tuache mihemko, kwanini tuanze kumpangia Mh Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Samia kuvaa viatu ambavyo wengine hawakuvaa.

Nani aliyevaa viatu vya Nyerere baada ya kifo ..

Nani alivaa viatu vya Mwinyi ,je Mkapa ?

Huyu ni mheshimiwa Rais kuanza kumlazimisha kuvaa viatu ambavyo sio saa hizi yake sio sawa.

Tumuache achape kazi kadili ya uwezo wake.

Mama Samia chapa kazi, piga kazi sawasawa kulingana na maono yako juu ya watanzania.

Watanzania tunakuamini, unaweza ,tuko na wewe

Uzi tayari.
I gave him a goat to carry, and he farted, and he said, "I am used to carrying cows."
 
Kwani anatekeleza ilani ipi?? Wembe ni ulele...Hakuna kitu kitakacho haribika ameshasema...Tutaendelea kubana mapato na kubuni vyanzo vipya... Subiri update ilani mpya ... Samia atakuwa mkali kuliko JPM...Siku tote mwanafunzi huwa bora kuliko mwalimu..Tumenolewa vya kutosha na JPM
 
Habari wakuu

Tufike muda tuache mihemko, kwanini tuanze kumpangia Mh Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Samia kuvaa viatu ambavyo wengine hawakuvaa.

Nani aliyevaa viatu vya Nyerere baada ya kifo ..

Nani alivaa viatu vya Mwinyi ,je Mkapa ?

Huyu ni mheshimiwa Rais kuanza kumlazimisha kuvaa viatu ambavyo sio saa hizi yake sio sawa.

Tumuache achape kazi kadili ya uwezo wake.

Mama Samia chapa kazi, piga kazi sawasawa kulingana na maono yako juu ya watanzania.

Watanzania tunakuamini, unaweza ,tuko na wewe

Uzi tayari.
Moja ya thread bora kabisa ya JF katika kipindi hiki cha maombolezo.
Kila mtu alivaa viatu vya kwake, hakuna aliyevaa viatu vya mwenzake, utaratibu wa kuvaliana viatu haupo na hauna mantiki.

Mama Samia songa mbele na viatu vyako vipyaa tena viatu vya kike, haukupewa urais kama zawadi bali umeupata kikatiba. Hakuna mtu wa kukubabaisha.
 
Kila mtu avae viatu vyake, hakuna haja ya mmoja kuvaa vya mwingine.

Sawa, kawnini Kikwete anajaribu kumvisha viatu vyake kwa kumshinikiza NCHIMBI awe makamu wake? Kwani KIKWETE mwanamke hata wabadilishane viatu?
 
Hatavivaa, ni vya kiume. Yeye ana vya kwake. Wasiopenda wajiandae maana vinaweza mpendeza kweli kweli
IMG-20210324-WA0053.jpg
 
Habari wakuu

Tufike muda tuache mihemko, kwanini tuanze kumpangia Mh Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Samia kuvaa viatu ambavyo wengine hawakuvaa.

Nani aliyevaa viatu vya Nyerere baada ya kifo ..

Nani alivaa viatu vya Mwinyi ,je Mkapa ?

Huyu ni mheshimiwa Rais kuanza kumlazimisha kuvaa viatu ambavyo sio saa hizi yake sio sawa.

Tumuache achape kazi kadili ya uwezo wake.

Mama Samia chapa kazi, piga kazi sawasawa kulingana na maono yako juu ya watanzania.

Watanzania tunakuamini, unaweza ,tuko na wewe

Uzi tayari.
IMG-20210323-WA0030.jpg
 
Nani kamlazimisha? Yeye mwenyewe anasema ataendeleza ya jpm. Sasa kama wewe hutaki hilo tatizo lako ila yeye kaamua hivyo
 
a
Asijidanganye akafata mambo ya JPM ....ataharibikiwa ....kila nabii na Zama zake na talanta zake ,kipawa kilichomfanya mpaka akafikia hapo ndo atembee nacho hcho hcho
acheni kumfundisha kazi alafu tulieni. Saivi nchi ipo mikononi mwa wananchi wanyonge nadhani mmejionea wenyewe kwa hiyo OHOOOOOOOoooooo
 
Kwani anatekeleza ilani ipi?? Wembe ni ulele...Hakuna kitu kitakacho haribika ameshasema...Tutaendelea kubana mapato na kubuni vyanzo vipya... Subiri update ilani mpya ... Samia atakuwa mkali kuliko JPM...Siku tote mwanafunzi huwa bora kuliko mwalimu..Tumenolewa vya kutosha na JPM
hahahahahaaaaaaaa, mama yetu ni mwanafunzi mzuri wa JPM hivyo tulieni. Kwanza mama anandoto ya kuwa Rais Bora Afrika na njia za kuwa Rais Bora Afrika anazijua so tulieni.
 
Back
Top Bottom