Phazo Khan
Member
- Aug 26, 2019
- 70
- 80
Kumekuwa na minung'uniko na misononeko mingi kwa wanufaika wa huduma zinazotolewa na mitandao ya simu. Chanzo cha ming'ununiko hiyo ni kupanda kwa bei za vifurushi.
Ni ukweli usionpingika kwamba bei za bidhaa lazima ziendane na hali ya maisha ya watu, huwezi kuwa na bei tofauti na living standards za watu.
Kupanda kwa bei za vifurushi sio tatizo, tatizo ni kwamba idadi wa watu mtaani hawana ajira(yani vyanzo vya kuipata pesa). Mifumo ya upatikanaji pesa imekuwa migumu sana.
Hivyo basi ili kuepuka lawama na masununiko kama haya kwa serikali ifanye haya
1. Kuweka mazingria wezeshi na rafiki kwa sekta binafsi ili ziweze kutengeneza ajira nyingi kqa vijana.
2. Kuweka mazingra mazuri kwa vijana ambao tayari wameshajiajira, kama kufuta kodi ambazo hazina maana, kuwatolea usumbufu kama wakufukuzwa fukuzwa na mgambo
3. Kuongeza mishahara kwa watumishi, ili vipato vyao viweze kukidhi mahitaji yao
UGUMU WA MAISHA HUPELEKEA KILA KITU KUWA KIGUMU.