Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza...
1 Reactions
1 Replies
948 Views
Ongezeko jipya la bei za vifurushi bila shaka ni matokeo ya mazungumzo baina ya waziri mwenye dhamana na wamiliki wa mitandao ya simu. Tuoneshe kupinga kwa vitendo tusinunue vocha tuziache simu...
32 Reactions
146 Replies
11K Views
Habari, Mheshimiwa Rais,Waziri Mkuu & waziri wa Mawasiliano/Waziri wa ajira & Maendeleo ya Vijana 1. Sisi ni sehemu ya wajasiliamali tuliopata ajila zetu ambazo sio rasmi kwenye mitandao ya simu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mabadiliko makubwa aliyoyafanya Rais Magufuli na kuyafungamanisha kwenye mihimili yote mitatu yaani Bunge,Mahakama na Serikali leo yamezaa matunda makubwa kwa Taifa hili na kuleta furaha isiyo na...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Bandugu, Zulia jekundu ni zulia ambalo limezoeleka kutumika katika shughuli maalumu. Kwa shughuli za serikali, hili hutumika kwenye hafla za kitaifa na kunapokuwa na ugeni kutoka nje. Katika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe. Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi...
21 Reactions
135 Replies
11K Views
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake...
28 Reactions
204 Replies
23K Views
Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa. Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii ni tweet ya Darmpya blog wakimnukuu Pascal Mayala: Rais Samia ataitengeneza Tanzania vizuri kuliko Magufuli,Kumleta Balozi Mulamula ambaye ni top Diplomat kuongoza wizara ya Mambo ya Nje ni...
53 Reactions
228 Replies
19K Views
ukitembelea china utawakuta watz wengi wapo vyuo vikuu vya China tena kwa msaada mkubwa serekali ya china. Pia kwa upande nchi kama india, Singapore hata Russia ni vigumu sana kusikia ufadhili wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu...
1 Reactions
2 Replies
882 Views
Mama yetu mpendwa sisi wanao tunakuomba tujue mapema Kama nawewe unapenda kusifiwa au la hili ni ombi letu kwako maana mama ni mama tusije tukakuudhi maana mama hatakupoteza ila atakulaani na...
1 Reactions
4 Replies
952 Views
ASKOFU MWAMAKULA HAJATOA TAARIFA YEYOTE KUHUSU MHESHIMIWA MBOWE! Kuna taarifa zinasambaa ambazo sio za ukweli zikionekana zimetoka kwa Askofu Mwamakula akitoa taarifa kuhusu afya ya Mwenyekiti wa...
12 Reactions
216 Replies
17K Views
Licha ya taarifa ya TCRA kusitisha bei mpya ya mabando bado hali huku mtaani ipo vilevile. Bei zimebaki kuwa zile zile ambazo tulizilalamikia.Nashindwa kuelewa ile taarifa ilikuwa ya kutuliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bado tupo kwenye siku 21 za maombolezo kufuatia kifo cha Hayati Dr. John Pombe Magufuli, John Shayo ni Katibu wa Wajasiriamali wanaofanya biashara Magufuli Bus Terminal Mkoani Dar es Salaam ambaye...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki. ""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana...
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Mataifa makubwa ikiwemo S. Africa kauli ya Waziri wa Fedha inaweza kuchangia positively or negatively kwenye uchumi. Waziri wa Fedha akizungumza Jambo watu hupima mapokeo kwa kuhojiana na...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu. CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa...
17 Reactions
60 Replies
6K Views
Tangu gazeti dada la The Citizen lichapishe mwishoni mwa wiki habari za upotevu wa Sh480 bilioni katika Wizara ya Fedha, Serikali imekaa kimya kama vile wizi huo ni tukio la kawaida, hivyo...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Hili lipo wazi Tanzania katika mambo ya nje tulikuwa tumefeli sana, diplomasia ilikuwa hoi bin taabani. Chini ya Kabudi Tanzania ilikuwa kama kisiwa au nchi inayoelea hewani. Kuondolewa Profesa...
34 Reactions
115 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…