Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi...
Kuna Tofauti kubwa sana kati ya kuwa Msemaji wa Ikulu na kuwa Msemaji wa Serikali ama kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo , Ikulu unaongea wewe tu na wala huhojiwi na mtu yeyote , kuna...
Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services...
Wakurugenzi 6 walioteuliwa na Rais Magufuli waingia mitini, mmoja atumbuliwa kimya kimya. Aliyetumbuliwa ni Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani mara bi Hidaya Sanga ameenguliwa katika safu...
Mheshimiwa tunakuomba usimame kwenye safu yako.
Mwache mh Suluhu afanye kazi aliyotumwa.
Usilete mfumo dume utakao mmeza Rais Mama Samia akashindwa kutekeleza yampasayo.
Nimekuona na...
Wasalaam wapendwa!
Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu...
Habari zenu wakuu.
Leo nina dukuduku ambalo nataka kulitoa. Sijui kama wenzangu linawatatiza pia. Hivi jamani makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kazi gani haswa?
Nauliza hivi...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Jumanne, Januari 15, 2013 05:20
Kanali mstaafu Nsa Kaisi, ambaye amekuwa Msaidizi wa Rais Benjamin Mkapa kwa miaka mingi, amepokwa shamba...
Katika mabadiliko ya nafasi za kisiasa tumekuwa tukishuhudia kila Rais mpya anataka kuteua safu yake ya uongozi kuanzia wa kisiasa na kiutendaji kwa mujibu wa maelekezo ya kikatiba na kisheria...
Mahakamani ambao huwa Majaji asilimia kubwa ni Mahakimu.
Kwenye Mawizara kuna watendaji wazuri tu katika nafasi za ukurugenzi n.k lakini zoezi la kuwapandisha hadhi kuwa Makatibu Wakuu au...
Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu.
Naomba kudeclare interest. Mimi ni Tour Guide nipo Arusha.
Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na...
Hawa wameleta chuki sana katika nchi yetu - kwani waliibia CCM Uchaguzi waziwazi. Mf. pale Mbeya Mjini hata Tulia mwenyewe alikiri kuwa walishinda lakini sio kwa kura nyingi vile. JPM mwenyewe...
Mama Samia Suluhu Hassan ameshtuka mapema. Ninamsifu sana. Ukweli kabisa Msela Jafo hakuwa na impact kabisa katika awamu ya tano. Aliyafanya yale ambayo alifikiri yanampatanisha Rais wa Awamu ya...
Mchakato wa Katiba Mpya sote tunafahamu ulivyoenda na ulivyoharibiwa na "wahuni" wachache wasiolipenda Taifa letu la Tanzania.
Kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020) suala la Katiba Mpya...
Wadau si nia yangu kuhamasisha visasi kwa kukumbusha yaliyopita. Tusitazame nyuma kwa hasira, bali kwa uoga. Tujihadhali tusirudi huko.
Ili kutafakari vizuri na kuepuka kumbukumbu kama hii, kuna...
Siasa za Tanzania haziishi mambo but this one is very serious.
Tanzania imepakana ki jeografia na nchi 8 lakini ni nchi mbili tu Watanzania wana wasi wasi nao sana.
Fikiria
Kwanini Rwanda na...
KWA MIAKA MITANO...
Kuna kundi la Watanzania, kwa miaka mitano limepitia haya:
1. Limezuiwa kukusanyika na kufanya mikutano na maandamano,
2. Likazuiwa kufanya mikutano ya nje na ndani,
3...
In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:-
fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their...
Nondo na Zito punguzeni speed maana kila mtu anajua Kigoma ilikuwa nyuma kwa miaka miaka mingi na Kuna agenda mahususi za mkoa huo. Jana Zitto amesimamia kidete suala ya Uraia akiwa chini ya cover...
..jamani kwanza utalii si suala la muungano.
..Zanzibar wamekuja juu baada ya Tanganyika, na Seychelles, kuingia mkataba wa ku-promote vivutio vya utalii kwa pamoja.
..Tanganyika tumekuwa...