Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Habari za kushinda wakuu, najua mnaenda kunipinga kwa 91% ya ninachoongelea hapa.

Lakini itoshe kuongea na 9% itakayo nipa nguvu katika hili.

Mama Samia aliaminiwa na Magufuli hivyo akapewa nafasi aliyonayo, na kipindi hicho mama alifanya kazi na wateuliwa wa Magufuli.
Je, swala la mama kubadili wateuliwa wa Magufuli na kuwaweka kitengo tofauti. Je, mama hana imani nao?

Tanzania tusiwe wanafiki, maendeleo hayana chama.

Karibu wakuu
 
Magufuli sio Mungu kuwa kila teuzi alikuwa sawa. Alikuwa na madudu yake.

Infact kila Rais anakuwa na team anayo amini itaendana na kasi yake.

Rais wetu mama Samia ana style yake ya uongozi ambao ni tofauti kabisa na JPM.

Anahitaji team itakayoendana na style yake.

Hili si siala la imani. Ni basic logic
 
Magufuli sio Mungu kuwa kila teuzi alikuwa sawa. Alikuwa na madudu yake.

Infact kila rais anakuwa na team anayo amini itaendana na kasi yake.

Rais wetu mama samia ana style yake ya uongozi ambao ni tofauti kabisa na JPM.

Anahitaji team itakayoendana na style yake.

Hili si siala la imani. Ni basic logic
Asante mkuu
 
Sasa mkuu chukulia mfano TPA yule bwana ni mteule wa hayati, haya emblazement imetokea so yeye amuache? Hapo hapo TPA hayati alipiga kelele sana kuhusu scanner na flow meter hivi vitu utekelezaji wake ulisuasua na hata PM alipokwenda pale aka suspect ubadhilifu so watu wakapigishwa fagio.

Sasa mkuu kupitisha fagio ni jambo la kawaida tu
 
Sasa mkuu chukulia mfano TPA yule bwana ni mteule wa hayati ...haya emblazement imetokea so yy amuache ? Hapo hapo TPA hayati alipiga kelele sana kuhusu scanner na flow meter hivi vitu utekelezaji wake ulisuasua na hata PM alipokwenda pale aka suspect ubazilifu so watu waka pigishwa fagio

Sasa mkuu kupitisha fagio ni jambo la kawaida tu
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom