Mkanganyiko wa kauli ya Rais na hofu ya serikali dhidi ya vyombo vya habari

2pad

JF-Expert Member
May 10, 2013
402
189
Ukifatilia kwa makini mjadala unaoendelea wa kauli ya Rais dhidi ya vyombo vyahabali utajiuliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo habari, hii nikwasababu haihitaji mtu uwe na PHD kuelewa kuwa Rais alitoa agizo vyombo vyote vya habari vilivyofungwa vifunguliwe.

Kwa mfano kwanini eti aseme ni online TV pekee halafu sio na magazeti nachojua Mimi ni kua amri ya Rais ni sheria; sasa kama alisema vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe, hii inamaanisha ni vyote na si online pekee.

Ndo Mana nauliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo vya habali?

Zaidi soma: Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni
 
Thus tulitaka hizi sumu za meko angezitoa zote aweke safu mpya. Maana wale ni waathirika wa sumu za udikteta.Ina maana Dr mzima ajui nini maana ya vyombo vya habari.
 
TZ sisi Bado Sana.Raisi kasema waziri anabisha.Raisi tumia rungu lako kuwafuta kazi mawaziri na makatibu wakuu wasio fuata maagizoyako.usiogope.
 
Back
Top Bottom