Subirini kidogo, hivi mnajua bei ya mafuta ya kupikia ilivyo sasa?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
ni shilingi za kitanzania 5,000/= kwa lita moja. hiyo ni bei ya mafuta ya kawaida tu kama MO, VIKING, KORIE n.k

mi naelekea kuchanganyikiwa wadau.........msisahau nondo na cement vilishapanda zamani tu kutoka 11,000 hadi 16,000 sasa na nondo kutoka 15,000 hadi 22,000/= EEH MUNGU TUSAIDIE
 
Pole sana
 
Unachelewa kuchanganya mzee huku kwetu hadi saiv ni elf8.
Na ni tangu mwenda zake yupo ko hicho ni kawaida usianze kumtaja maza maana saiv hamueleweki!!
 
Back
Top Bottom