Siwezi kuwa Mnafiki, sikuwajua vizuri CCM! Kuanzia leo ‘Am Out’ Ndugai kanikamilishia ushahidi

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habari wadau nasema toka Moyoni kuanzia leo sito kuja kumuamini kiongozi yeyote wa CCM kweli leo nimeamini kuwa kuipa Dhamana CCM ni Sawa na kujiweka kitanzi

Kwa miaka Mingi nimekuwa nikijipa Matumain kuwa huenda ipo siku tutapata viongozi wazuri na wenye maono ya kulifikisha Taifa Mbali

Akaja kutokea Magufuli kila mmoja alimsifia hasa katika serikali na watu tukamuone ni shujaa wa Taifa letu ili bahati mbaya Mzee kafa pia ni bahati nzuri sababu tumeweza kujua walio kuwa wanatuambia mzee ni kiongozi bora leo hao hao wanatuambia Mzee alikua Mwizi

Miradi ambayo tuliaminishwa kuwa si mizuri kwa taifa letu hasa ule wa Bandari ya Bagamoyo leo wale wale walio pinga Mwanzo leo wanauitaji How Tanzania?

CCM ni Mashetani tunao ishi nao Dunian najutia Muda niliomaliza Kwan Nina Iman Nchi hii Bado inaliwa na kila anae kula akimaliza kula anakuja mpya na kumwita wa Zaman mwizi kama vile Hayat alivyo fanya kwa JK na pia Mama Anavyo fanya kwa MK

Usalama wa taifa naomba mlilinde Taifa Mama Samia Please wewe ni Muislam usikubali kuwa Mnafki

Kuanzia Leo Mimi na CCM Basi Tena Mana nimechezewa akili vya kutosha na siku nchi itakua Sawa tawashtaki kwa kutu danganya

Najiuliza hivi hawa watu sasa hivi wanaweza hata kuwaangalia Familia ya Magufuli usoni? Hata kama Alikua ni Mwizi hatakiwi kumsaliti kiasi ichi ni Bora mngewaachia Baadhi ya watu wa Pemben
 
Viongozi wetu nendeni na mambo Pole pole, Watanzania siyo Wajinga kiasi hicho. Hayati alitufumbua macho baadhi ya Vitu vingi ikiwemo la Bandari ya Bagamoyo.
Hellium Faster Faster...
COVID faster faster....
Leo bila Aibu Bandari ya Bagamoyo faster faster unaipigia Promo bila aibu.

Hamtaamini macho yenu Watanzania siyo wajinga. Lazima kuna external force ya hizi hoja za haraka haraka na huenda ndizo chanzo cha maombolezo yetu.
 
Viongozi wetu nendeni na mambo Pole pole, Watanzania siyo Wajinga kiasi hicho. Hayati alitufumbua macho baadhi ya Vitu vingi ikiwemo la Bandari ya Bagamoyo.
Hellium Faster Faster...
COVID faster faster....
Leo bila Aibu Bandari ya Bagamoyo faster faster unaipigia Promo bila aibu.

Hamtaamini macho yenu Watanzania siyo wajinga. Lazima kuna external force ya hizi hoja za haraka haraka na huenda ndizo chanzo cha maombolezo yetu.
Corona IPO! Chukua tahadhari.
 
Mimi nikiteleza sisemi "shetani kanipitia" nasema ni CCM"

Hawa jamaa ni kama wanawake wabar(wanaojiuza) wao ni bendera ufata upepo ili mradi mfuko utune..

Kipindi kile nilikuwa nikisema hawa ni wanafiki naonekana nazingua.. We mtizame yule kigwangala, msikie spika wa bunge sasa

Wakati mwingine nahisi aheri marehemu kafariki hapa kati kaja mtu wa kuneutralize(diplomasia/sisemi hana makosa wala hata kuwa na madudu) ila angetoka marehemu ambae angefata angekuwa ni zaidi ya marehemu, alikuwa ametemgeneza sumu ya kiongozi ni MUNGU MTU.
 
Habar wadau nasema toka Moyoni kuanzia Leo sito Kuja kumuamin kiongoz yeyote wa ccm kweli Leo nimeamin kua kuipa Dhamana Ccm ni Sawa na kujiweka kitanzi

Kwa miaka Mingi nimekua nikijipa Matumain kua huenda ipo siku tutapata viongoz wazur na wenye maono ya kulifikisha Taifa Mbali

Akaja kutokea Magufuli kila mmoja alimsifia hasa katika serikal na watu tukamuone ni shujaa wa Taifa letu ili Bahat mbaya Mzee kafa pia ni Bahat nzur sababu tumeweza kujua walio kua wanatuambia mzee ni kiongoz Bora Leo Hao Hao wanatuambia Mzee Alikua Mwizi

MIRAD ambayo tuliaminishwa kua si mizur kwa taifa letu hasa ule wa Bandari ya Bagamoyo Leo wale wale walio pinga Mwanzo Leo wanauitaji How Tanzania?

Ccm ni Mashetan tunao ishi nao Dunian najutia Muda nilio Maliza Kwan Nina Iman Nchi hii Bado inaliwa na kila anae kula akimaliza kula anakuja mpya na kumwita wa Zaman mwizi kama vile Hayat alivyo fanya kwa Kkt na pia Mama Anavyo fanya kwa mk

Usalama wa taifa naomba mlilinde Taifa Mama Samia Please wewe ni Muislam usikubali kua Mnafki


Kuanzia Leo Mimi na Ccm Basi Tena Mana nimechezewa akili vya kutosha na siku nchi itakua Sawa tawashtaki kwa kutu danganya


Najiuliza ivi Hawa watu sasaiv wanaweza hata kuwaangalia Familia ya Magufuli uson?
Hata kama Alikua ni Mwizi hatakiw kumsalit kiasi ichi ni Bora mngewaachia Baadhi ya watu wa Pemben



Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sorry.Sio wote waliomsifia.
Ni baadhi tu.
 
Siku vongozi walio wengi wakiushinda unafki, ubinafsi, uchu/uroho wa fedha na madaraka basi hapo tutapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo. Na hii ni kwa pande zote walioko madarakani hata walioko upinzani.
 
Viongozi wetu nendeni na mambo Pole pole, Watanzania siyo Wajinga kiasi hicho. Hayati alitufumbua macho baadhi ya Vitu vingi ikiwemo la Bandari ya Bagamoyo.
Hellium Faster Faster...
COVID faster faster....
Leo bila Aibu Bandari ya Bagamoyo faster faster unaipigia Promo bila aibu.

Hamtaamini macho yenu Watanzania siyo wajinga. Lazima kuna external force ya hizi hoja za haraka haraka na huenda ndizo chanzo cha maombolezo yetu.
Hayati JPM yule mwizi au nani unamaanisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom