johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,975
Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip.
Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru.
Source BBC Dira ya Dunia
Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru.
Source BBC Dira ya Dunia