B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,054 Apr 9, 2021 #1 Mabibi na mabwana huyu hapa: ni mh. Abdullah Bulembo alipenda jiwe kama alivyomwita yeye apite bila kupingwa. Wajameni mnapokuwa mnatoa kauli nzito nzito kama hizi msiwe mnapotea moja kwa moja. Au nasema uongo ndugu zangu?
Mabibi na mabwana huyu hapa: ni mh. Abdullah Bulembo alipenda jiwe kama alivyomwita yeye apite bila kupingwa. Wajameni mnapokuwa mnatoa kauli nzito nzito kama hizi msiwe mnapotea moja kwa moja. Au nasema uongo ndugu zangu?
J Jerusalem2006 JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 347 Reaction score 1,623 Apr 9, 2021 #2 We mzee wa Corona Bulendu kwenye kichwa cha habari ndo nini!?.. Si utulie uandike vizuri unawahi nini!?
We mzee wa Corona Bulendu kwenye kichwa cha habari ndo nini!?.. Si utulie uandike vizuri unawahi nini!?
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,054 Apr 9, 2021 Thread starter #3 Jerusalem2006 said: We mzee wa Corona Bulendu kwenye kichwa cha habari ndo nini!?.. Si utulie uandike vizuri unawahi nini!? Click to expand... Ulimi hauna mfupa. Ukipenda mfupa hauna ulimi. Corona na mama Samia tuko vizuri sana. Tulipo tunasubiria ripoti tu ya wataalamu. Hata tunayemwulizia inatosha sana kuwa wazi tu kama alitereza. Au nasema uongo ndugu zangu?
Jerusalem2006 said: We mzee wa Corona Bulendu kwenye kichwa cha habari ndo nini!?.. Si utulie uandike vizuri unawahi nini!? Click to expand... Ulimi hauna mfupa. Ukipenda mfupa hauna ulimi. Corona na mama Samia tuko vizuri sana. Tulipo tunasubiria ripoti tu ya wataalamu. Hata tunayemwulizia inatosha sana kuwa wazi tu kama alitereza. Au nasema uongo ndugu zangu?