Unawaza mbali sanaLabda kawekwa mle kimkakati zaidi kwa kazi maalumu na uwaziri ungemkeep busy au kumfunga mdomo na akashindwa kupiga propaganda vizuri
Huyo katemwa rasmi na mzee, hakuna cha V8 wala posho za kusafiri kama alivyokuwa Katibu mwenezi, angeteuliwa waziri tungesema mzee alikuwa anampa cheo but kuwa mbunge tena jimbo hana it means atakuwa bubu tu humo na hakuna cha mkakati wala nini huyo ndio katolewa rasmi kwenye ramani na swali dogo tu kati ya kuwa mwenezi wa chama Taifa na ubunge kipi ni cheo kikubwa? Bye bye Polepoleunawaza mbali sana
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong
Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro?
huyo bado yupoyupo na vyeo vyake VYOTEKwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong
Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
kwani Mwenezi kashateuliwa ??? huyo ananguvu kubwa sanaHuyo katemwa rasmi na mzee ,hakuna cha v8 wala posho za kusafiri kama alivyokuwa Katibu mwenezi,angeteuliwa waziri tungesema mzee alikuwa anampa cheo but kuwa mbunge tena jimbo hana it means atakuwa bubu tu humo na hakuna cha mkakati wala nini huyo ndo katolewa rasmi kwenye ramani na swali dogo tu kati ya kuwa mwenezi wa chama Taifa na ubunge kipi ni cheo kikubwa?bye bye pole pole
Mleta mada,kwmba pole.pole hawezi kuwa MBUNGE na afisa uenezi ccm au unamaanisha nini unapouliza nafasi yake ataziba naniKwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong
Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
Ndo kwanza mwanzo.Kwanza uwaziri utamnyima sauti kutetea kuondoa ukomo wa madaraka.Hili likiisha atakuwa tu waziri.Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong
Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??