Kwema wanaJF,
Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe...
Kutokuwepo Hayati Magufuli, ambaye aina ya siasa aliyoiendesha (Utashi wa Kisiasa, Uthubutu wa maamuzi magumu na kuyatekeleza, Usimamizi wa rasmali za nchi, nk) kumejitokeza uhalisia wa aina ya...
Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari...
Muleba. Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Joachim Rwegasira mkazi wa kijiji cha Bushanga Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kumuua mkewe, Rosemary na mwanaye, Joiness na...
Ndugu zangu,
Rais Samia kwa nia njema kabisa ametaka TRA waache mabavu kukusanya kodi. Ila kwa uzoefu na hulka ya binadamu huwa hawapendi kulipa kodi. Naam kodi ikusanywe kwa mujibu wa sheria...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki...
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya
Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile...
Habarini...!!
Jana nimeona uteuzi kutoka kwa Mh. Rais kuwa amewateua washauri wake wa Diplomasia, Siasa, na Uchumi pia.
Kiapo cha Mawaziri kina sehemu inasema "Nitamshauri Rais kwa hekima na...
Na Thadei Ole Mushi.
Katibu wa Wizara ya Utumishi amewataka Watanzania kumpuuza Prof Assad kwenye taarifa alizotoa karibuni kuwa Watumishi wa umma hawana uwezo na wenye uwezo ni Kidogo Sana...
Keep Resting in Eternal Peace Alphonce Mawazo
_________________
Ni Takribani Miaka Mitano sasa na Miezi Mitano, Uliandika haya Novemba 2, 2015.. baada ya wiki 2 ukauawa!!
_________________...
Naomba niulize Serikali nzima na mheshimiwa Rais Samia Suluhu, hivi hawa FCC wako juu yenu au wao hawafuati maelekezo ya Serikali na mheshimiwa Rais?
Inakueje Rais anahangaikia kurudisha...
Wabunge wengi wanajifanya wanapenda mipango ya mpendwa wetu Magufuli lakini kelele zote za kusema Mama afanye ya Magufuli ni woga wa uchaguzi huru. Kama wabunge wanafanya kazi ya wananchi na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa...
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na...
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa, akiwa hai na hata katika umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed...
Kusema kweli nimeguswa sana na Gwaji boy kiasi kwamba pamoja na mapungufu yake yaliyonifanya nisimuheshimu tena, umenifungua akili na kunifanya nirudi nyuma kutafakari upya jinsi ninavyomchukulia...
Watu wanaimba nchi ya viwanda mtaani maredioni na pale tbc utekelezaji ni zero
Hivi kijani mna matatizo gani?
Ukitaka matusi waulize ni viwanda vingapi vimejengwa???jibu ni hakuna kitu
Mbona...
Legacy nzuri ya mtu huwa haitetewi. Legacy nzuri huwa inajitetea yenyewe kupitia mambo mazuri pamoja na matendo mazuri aliyofanya mhusika.
Ukiona kuna mtu watu wanatetea kwa nguvu zote kuwa...
Na Mwandishi Wetu
Vunjo.
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na...
Hari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu...