Ipi ni alama ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania? Dkt. Slaa ametufunza kupinga ufisadi,je huyu mwamba?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,660
2,000
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dkt. Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
12,479
2,000
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Hii ndio legacy ya mwendazake na wajinga wenzio huko mataga,tumempa 15 tena ashindwe yeye tu
Screenshot_20210415-212917_Twitter.jpeg
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
83,973
2,000
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
FB_IMG_1589397986327.jpg

FB_IMG_1595009729173.jpg
 
El ohinu

Senior Member
Dec 2, 2020
168
500
Yan we jamaa sjui kama kchwa chako knafanya kazi vzuri.
Kila sku unaleta uzi humu lakn naonaga ni propaganda tu.

Lete uzi hapa tujadili majiz ya taifa hli yako chama gani.
Lete uzi hapa tujadili nani alifilis mashrka ya umma, nani aliua viwanda, nani alsema fedha za escrow si za umma na watu wakazgawana, je amekamatwa au bdo?
Mjinga mmoja wewe.
 
Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
1,962
2,000
Tuambie Legacy ya wachangiaji mahiri wa bunge la kijani Msukuma na Mwenzie KIbajaji
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,965
2,000
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?

Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dr Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba anatuachia legacy gani kama mwanasiasa?

Kuwa mzee wa matingas na matumiko?
Legacy ya MBOWE wanaijua mabosi wako waliompora pesa zake, kuharibu green house zake, kuvunja jengo lake la kitega uchumi, kufungia gazeti lake na kumfungabila hatia.
Dagaa kama wewe unayelipwa buku 7 kamwe huwezi jua legacy ya Mwamba
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,660
2,000
Yan we jamaa sjui kama kchwa chako knafanya kazi vzuri.
Kila sku unaleta uzi humu lakn naonaga ni propaganda tu.

Lete uzi hapa tujadili majiz ya taifa hli yako chama gani.
Lete uzi hapa tujadili nani alifilis mashrka ya umma, nani aliua viwanda, nani alsema fedha za escrow si za umma na watu wakazgawana, je amekamatwa au bdo?
Mjinga mmoja wewe.
Stick to the point.
 
Roy Logan

Senior Member
Jan 22, 2021
139
1,000
Mwanasiasa aliyezulumiwa kila kitu na Ibilisi lakini akagoma kumpigia Magoti na kusujudu, hii legacy itabaki daima, Ibilisi kaja sasa kaenda zake, Mbowe bado yupo.

Nenda kwenye bible ukamsome Ayubu, utaelewa zaidi jinsi Ibilisi alivyo mbaya.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,660
2,000
Legacy ya MBOWE wanaijua mabosi wako waliompora pesa zake, kuharibu green house zake, kuvunja jengo lake la kitega uchumi, kufungia gazeti lake na kumfungabila hatia.
Dagaa kama wewe unayelipwa buku 7 kamwe huwezi jua legacy ya Mwamba
Makosa yako ni kutomaliza hata la saba. Kwa hiyo ujinga ulionao ni kama debe la chawa
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,660
2,000
Mwanasiasa aliyezulumiwa kila kitu na Ibilisi lakini akagoma kumpigia Magoti na kusujudu, hii legacy itabaki daima, Ibilisi kaja sasa kaenda zake, Mbowe bado yupo.

Nenda kwenye bible ukamsome Ayubu, utaelewa zaidi jinsi Ibilisi alivyo mbaya.
Hajadhulumiwa, alilipishwa kodi. Usishuhudie uongo. Hapa hakuna ulichonena cha maana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom