Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,958
2,000
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, :D:D:D:D hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
3,219

Tutambuane kisomi mkuu,Ili maada yetu isije kuvamiwa maana hata la saba au form 4, nao ni msomi sikuizi. Wewe unataaluma ya kitu gani,na ni katika level ipi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom