Kwanini FCC hawafuati maelekezo ya Serikali na Rais?

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,322
2,000
Naomba niulize Serikali nzima na mheshimiwa Rais Samia Suluhu, hivi hawa FCC wako juu yenu au wao hawafuati maelekezo ya Serikali na mheshimiwa Rais?

Inakueje Rais anahangaikia kurudisha wawekezaji huku wao wanakazana kukimbiza wawekezaji.?

Hapa naongelea michakato ya Simba Sport Club, mbona kama vile FCC ni kikwazo kikubwa hivo?

Wao ni nani na kwanini wamejaa jeuri hivi? Je, wametumwa au ni matakwa yao tu?

Mheshimiwa Kassim Majaliwa hebu wamulike hawa jamaa, na mbona wao hawatumbuliwi? Au wana kinga gani?

Sio kawaida inapofikia sehemu mpaka muwekezaji analalamika hadharani.

Tunaomba Serikali huu mchakato nao uishe tuendelee na mingine. Sio kila siku Simba mara hili mara hili!

Na mbona inachukua muda mrefu hivo? Au wanataka rushwa? Ndugu zetu wa PCCB tunaomba muwatembelee hawa FCC maana ni kama wako kwenye Jamhuri yao tu.
 
Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
6,027
2,000
Hakika..kila siku serikali inalalamikia wawekezaji, wakija wanakwamishwa! Fukuza wote!
 
  • Thanks
Reactions: mmh

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,322
2,000
Hiyo ni kwa faida yenu lakini! Mwamedi atawanyang'anya mpaka kale kapagale kenu msipokuwa makini na kukaita Mwamedi Plaza! Ameshaanza kule Bunju! Lakini bado mmelala tu.

Sijui ni kwa sababu ya umbumbumbu wenu?
Mawazo yako ya kimasikini sana. Inavyonesha umejaza chuki tu isiyo na sababu, Hela anayolipa wachezaji tu angeweza kuchukua hata benjamin mkapa tower
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,075
2,000
Naomba niulize Serikali nzima na mheshimiwa Rais Samia Suluhu, hivi hawa FCC wako juu yenu au wao hawafuati maelekezo ya Serikali na mheshimiwa Rais?

Inakueje Rais anahangaikia kurudisha wawekezaji huku wao wanakazana kukimbiza wawekezaji.?

Hapa naongelea michakato ya Simba Sport Club, mbona kama vile FCC ni kikwazo kikubwa hivo?

Wao ni nani na kwanini wamejaa jeuri hivi? Je, wametumwa au ni matakwa yao tu?

Mheshimiwa Kassim Majaliwa hebu wamulike hawa jamaa, na mbona wao hawatumbuliwi? Au wana kinga gani?

Sio kawaida inapofikia sehemu mpaka muwekezaji analalamika hadharani.

Tunaomba Serikali huu mchakato nao uishe tuendelee na mingine. Sio kila siku Simba mara hili mara hili!

Na mbona inachukua muda mrefu hivo? Au wanataka rushwa? Ndugu zetu wa PCCB tunaomba muwatembelee hawa FCC maana ni kama wako kwenye Jamhuri yao tu.
Kwani SIMBA ni mali ya nani?
 
Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,216

Nadhani sasa serikali iziachie Simba na Yanga zifanye kile wanachotaka. Wawe huru halafu tuone mtu aliyeshindwa timu za Mbagala Market na Singida United kama ataweza kuiendesha Simba.
Inavoinekana serikali kuendelea kuzibeba timu hizi kunazifanya ziwe lulu ilhali si chochote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom