Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosolewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti.
Sasa hivi CCM wanaparuana huko Bungeni ni jambo jema kwa afya ya chama chao, maana kama kuna watu walitaka kwenda nje ya mstari lazima wapewe ukweli.
Sasa ninyi wapinzani kiuhalisia mna mnamatatizo mengi sana, tena ambayo ili kuweka mambo yenu sawa mlitakiwa muwe mnaparuana bila aibu.
Mmejaza wajaza matumbo, wanaokula pesa za ruzuku huku vyama vikisinyaa lakini hamna anaethubutu kuhoji. Mjifunze kukosoa.