Tutaendelea kujadili kuongeza au kupunguza muda wa vipindi au miaka katika vipindi vya urais mpaka lini?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,553
46,092
Juma Nkamia, Ally Kessy na Deo Sanga wote wakiwa wabunge walisistiza sana kwamba sio dhambi kuongeza muda wa Urais ikiwa Rais aliyeko madarakani anafanya vizuri.

Walifikia hatua ya kusema hata kama Rais mwenyewe hataki kuongeza muda nje ya ukomo wa katiba basi alazimishwe kwa manufaa ya taifa.

Kwa mantiki hiyo hiyo, je ikiwa Rais hafanyi vizuri akiwa madarakani bunge linaweza kupunguza ukomo wa vipindi vya urais kutoka viwili hadi kimoja au kupunguza miaka katika kipindi cha urais mfano kukifanya kipindi kimoja kiwe na miaka mitatu badala ya 5 na alazimishwe kutii hata kama hataki kwa manufaa ya taifa?
 
Juma Nkamia, Ally Kessy na Deo Sanga wote wakiwa wabunge walisistiza sana kwamba sio dhambi kuongeza muda wa Urais ikiwa Rais aliyeko madarakani anafanya vizuri. Walifikia hatua ya kusema hata kama Rais mwenyewe hataki kuongeza muda nje ya ukomo wa katiba basi alazimishwe kwa manufaa ya taifa.

Kwa mantiki hiyo hiyo je ikiwa Rais hafanyi vizuri akiwa madarakani bunge linaweza kupunguza ukomo wa vipindi vya urais kutoka viwili hadi kimoja au kupunguza miaka katika kipindi cha urais mfano kukifanya kipindi kimoja kiwe na miaka mitatu badala ya 5 na alazimishwe kutii hata kama hataki kwa manufaa ya taifa?
Unajadili hoja za mazezeta ?
 
Back
Top Bottom