Vijana tunadharaulika sana, tufanye nini ili kujikwamua na madharau hayo ya viongozi wetu?

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
327
500
Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki.

Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaa.

Leooo hii ndo kali sasa mbunge anasimama anasema vijana tunatatizo la nguvu zakiume.

Sasa sijajua wanatutafuta nini ajira hawatupi wanabaki kutusimanga sasa kama hawatutaki ni bora watuombee hifadhi ya uakimbizi nchini Canada maaanake si manyanyaso haya.

Ajira mtunyime mambo mengine pia mtusingizie sio pouwa tuheshimuni bhasi hata kama hatuna kazi.

Naomba namba ya yule mbunge wa Bukoba afundishwe kazi.
 
mwelemimmongo

Member
Feb 16, 2021
8
45
Duuuh ndo unashutuka leo,vijana wanadhamani kipindi cha kampeni tu mfano mabodaboda,bajaji wanatumika kunogesha mikutano ya wanasiasa pia na wasanii
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,494
2,000
Kudharauliwa ni Jambo moja, na kukubali kudharaulika nalo ni Jambo lingine.

Vijana pigeni kazi, mkishindwa pambaneni nao, ikishindikana kabisaaa basi ungeni juhudi ili mzidi kudharaulika kabisaaa.
 
64-bit

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
213
225
Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki.

Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaa...
Hivi alijuaje kua vijana hawana nguvu za kiume?anatuaminisha nini?
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
9,736
2,000
Kwanza tambua huyo aliyeongea hivyo ni mgonjwa wa akili, pili vijana mjitambue sio mnatumia kura zenu ovyo kwa nafasi yake alitakiwa kushauri nini kifanyike ili vijana wakombolewe badala yake ametumia nafasi yake kufuja kodi zenu yeye na familia yake halafu leo anawasimanga.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
1,788
2,000
Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki.

Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaaa.

Leooo hii ndo kali sasa mbunge anasimama anasema vijana tunatatizo la nguvu zakiume.

Sasa sijajua wanatutafuta nini ajira hawatupi wanabaki kutusimanga sasa kama hawatutaki ni bora watuombee hifadhi ya uakimbizi nchini Canada maaanake si manyanyaso haya.

Ajira mtunyime mambo mengine pia mtusingizie sio pouwa tuheshimuni bhasi hata kama hatuna kazi.

Naomba namba ya yule mbunge wa Bukoba afundishwe kazi.
Acheni kutafuta huruma , kweli vijana mwaliangusha taifa Hili, mh Ndugai binafsi sio namtetea bali katumia lugha ya kiutu uzima kuwafikishia salama ,na hakulenga vijana KWA ujumla wa tz nzima, but itakua ngum kueleweka, tz vijana wengi mliopewa vyeo mmeharibu Sana japo lugha hii aliipeleka kibunge zahidi, alitumia namna flani hivi,so KWA Hili nitamtetea, binafsi ni CHADEMA, ila napenda haki,
 
7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,172
2,000
Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki.

Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaaa.

Leooo hii ndo kali sasa mbunge anasimama anasema vijana tunatatizo la nguvu zakiume.

Sasa sijajua wanatutafuta nini ajira hawatupi wanabaki kutusimanga sasa kama hawatutaki ni bora watuombee hifadhi ya uakimbizi nchini Canada maaanake si manyanyaso haya.

Ajira mtunyime mambo mengine pia mtusingizie sio pouwa tuheshimuni bhasi hata kama hatuna kazi.

Naomba namba ya yule mbunge wa Bukoba afundishwe kazi.
Weka ka clip mkuu
 
kazi NA sala

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,730
2,000
Wanafanya hivyo kuponda ...ili hata hizo ajira zisitolewe.

Ila kwa upande wa pili wa shilingi vijana wajitathmini sana haswa kwenye issue za furksa,uwezo wa kuchambua mambo kwa akili ambayo siyo ya kidarasani + uwajibika.

Kwa sabbu now days vijiweni ni story za migegedo + umbea umbea usio na tija.

Niungane na Spika kuwa vijana sio waaminifu lakini niseme kuwa sio wote kwa sabbu hata wazee sio waaminifu....hao ndio wameliingiza Taifa kwa upigaji + kufia guest huko

Mwisho ni dharau kubwa sana kusema vijana wana matatizo ya nguvu za kiumu......Ni dharau ya kifedhuli sana.
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,230
2,000
Me hapa nawaza kumtafuna Mbunge mmoja wa Covid 19, hasa huyu wa tarehe 4/ 4/2021. Ananivutia Sana. Ningempa Dozi mpaka akaadithie bungeni.
 
E oxygen

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
209
225
Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki.

Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaaa.

Leooo hii ndo kali sasa mbunge anasimama anasema vijana tunatatizo la nguvu zakiume.

Sasa sijajua wanatutafuta nini ajira hawatupi wanabaki kutusimanga sasa kama hawatutaki ni bora watuombee hifadhi ya uakimbizi nchini Canada maaanake si manyanyaso haya.

Ajira mtunyime mambo mengine pia mtusingizie sio pouwa tuheshimuni bhasi hata kama hatuna kazi.

Naomba namba ya yule mbunge wa Bukoba afundishwe kazi.
Labda kweli wapinzani ndio walikuwa na nguvu za kiume kuliko wa sisiemu tumeshajua nikushukuru anyway
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom