CCM inakwenda kupata mwenyekiti mpya wa taifa kufuatia mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa JMT.
Katibu mkuu atakuwa mpya
Katibu wa Itikadi na Uenezi atakuwa mpya.
Yawezekana hata makamu wa...
Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa...
Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji...
Moja ya uongo wa awamu ya tano ni kuwa walijenga viwanda elfu nane/8000 ukiwauliza vipo wapi wanakuonyesha vyerehani[emoji23]
Awamu ya 6 imesema imejenga zahanati 1800, vituo vya afya 400 na...
JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!?
Leo 13:45hrs 25/04/2021
Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa...
Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;-
1.Hali ikoje kwa sasa?
2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini...
Ni kutoka Kijiji cha mbagamawe wamedai kupigwa na kuchomewa nyumba zao kwa miaka zaidi ya mitano Sasa
Huku wakilalamikia watu wanaodaiwa ni Askari wawanyama pori maarufu Kama game
Chanzo Cha...
Leo alipotajwa Mhe. Kassim Majaliwa Kassim Bungeni, alipigiwa makofi mengi sana tofauti na wenzake.
Kwa mtazamo wangu kwa wiki hizi kadhaa Waziri huyu mkuu amekosha nyoyo za watanzania wengi na...
Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi.
Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya...
Ndugu Polepole
Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora...
Hiki chama kipokipo tu mitaani, wilayani na hata serikalini lakini tuseme ukweli hakina faida kwa Wananchi wa Taifa hili la Tanzania kwa ujumla. Viongozi wa Chama hiki ndio wanaofaidi, kazi yao ni...
Habari zenu wadau wa JF siasa.
Niende madani hapo juu.
Jana nilikaa na kufanya maongezi hapa na pale na kada mzoefu ndani ya CCM. Moja ya jambo la kushangaza aliloniambia ni kuwa Magufuli...
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani Samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiano ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha...
Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua.
Tusubiri na ripoti sijui ya...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na...
Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine.
Licha ya umuhimu wa...
Nianze tu kwa kusema miongoni mwa mawaziri ninaowakubali hapa nchini ni huyu mama (Ummy Mwalimu).
Huyu ni miongoni mwa mawaziri wafuatiliaji sana kwenye shughuli zake za kila siku, hii mnaweza...
https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims
HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI
Christian Drosten na...
Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika.
Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu...
Nikijadiliana na wazee wa chama Tawala wenye ushawishi ndani ya chama na serikali kuhusu hatma ya chama nadhtushwa na mawazo yao japo yapo sahihi. Wanasema kisiasa endapo Rais na Mwenyekiti wa...