Uwekezaji Tanzania - Sura mpya

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,021
2,000
Katika hotuba yake kwenye Bunge leo Alhamisi 22/04/2021, Rais Mama Samia, kuhusu uwekezaji, amesema Tutarudisha imani ya Wawekezaji na kutoa vivutio kwa Wawekezaji, tunalalamikiwa sana, kumekuwa na mchakato mrefu Watu wanapotaka kuwekeza Tanzania, Serikali ya Awamu ya Sita tunakwenda kukomesha hili na Uwekezaji utakwenda kwa haraka.

Hakika ni ahadi nzuri kwa wawekezaji waaminifu na wasio. Lakini ameacha maswali ya msingi bila majibu, km:
√ Je, wimbi linaloendelea nchini la kuwanyanyasa wawekezaji wa ndani wadogo wadogo, kwa jina la "Machinga" Rais anawahakikishia nini?
√ Nafasi yao katika uchumi wa nchi yao ni ipi?
√ Vitambulisho vyao vina nguvu tena, au ndio mwisho wake?
 

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
589
1,000
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.

Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.


Kwa akili za kina Mbowe wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,889
2,000
Miongoni mwa walamba nyayo wa jiwe na shabiki wa unyama uliotendwa ni wewe , leo unakuja umeufyata , nyie vijana kuweni makini na ushabiki maandazi
 

Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,251
2,000
Wamachinga waende maeneo yao elekezi watamfanya biashara, mbona wawekezaji wengine wanatii hilo, hawachafui majiji na mabox yao ya vibanda.

Hao waondolewe tu, ikibi waishi kama jina lilivyokuwa linamaanisha awali, mchuuzi anayetembeza bidhaa.

Everyday is Saturday................................:cool:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom