Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko.
Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo...
Kuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano.
Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama...
Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa
Amesema, "Sitakubali kabisa...
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.
Lakini ilipoingia awamu ya tano...
Hivi Ni kifungu gani kwenye Katiba kinachompa Rais, Mamlaka ya Kufanya reallocation ya Public fund, Huku Matumizi ya fedha za Umma huidhinishwa na Bunge.
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna...
1. Wazanzibari ndio wanaonufakika zaidi na muungano kuliko wabara.
2. Viongozi wengi wa sasa hivi hawana maadili wengi ni wezi na wamejaa tamaa za madaraka.
3. Yeye ni Mzanzibari ila ameoa...
Uimara na kuendelea kudumu kwa CCM kunatokana na nguvu za dola, nje ya hapo CCM ni chama dhaifu sana. Ndani ya CCM kuna wanachama waganga njaa wengi sana ambao maisha yao nje ya chama...
Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na Watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Samia alivyokuwa ameagiza.
CHADEMA, ahadi ya kukaribishwa...
Mambo Yanayo Endelea Kwanza kabisa yanatoa Taswira ya Aina ya Viongozi wetu walivyo na kutoa Definition ya Mwanasiasa ni Nan
Mpaka Sasa naona Ajabu kua Wapinzan Hasa Tundulisu anatoa maneno Makal...
Najua Wapinzani hawatafurahia swali hili lakini chini ya jua lolote linawezekana.
Nawaona komredi Polepole na ndugu Makonda wakipiga jalamba kurithi mikoba ya Dr Bashiru aliyehamia Ikulu kama...
Tuwekeze kwenye bidhaa mpya zenye thamani kubwa Ili uchumi wetu upande kwa kasi
(GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani...
Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo...
Nape kama anavyofahamika na wengi ni mtu mpenda sifa na mnafiki.
Kwa siku za hivi karibuni hasa baada ya JPM kufa Nape amekuwa mtu wa kutaka kupima upepo hasa upande wake unapepeaje huku akiamua...
In Tanzania, there’s a high level of incest between political and business elites. That’s to say that business and political elites are one and the same thing. Egypt is a classical case where the...
Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya:
1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo?
2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania...
"Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike...
Nashukuru Mungu kwamba angalau Tanzania ya hoja kwa hoja inarejea taratibu.
Kumeibuka kundi la watu linaloshinikiza Mhe. Rais Mama Samia afikiri kama Hayati magufuli. Haieleweki vyema kwa nini...
Habarini Wadau,
Inashangaza sana, mtangazaji wa EATV, Samsoni Charles ameelezea jinsi alivyokuwa na mawasiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razak Badru mpaka dakika 25 tu zilizopita...
Heri ya sikukuu ya Muungano wandugu?
Nashawishika kuandika Uzi huu kwakua naona huku mitaana kuna wasomi wengi sana na wana exposure nzuri sana from abroad. Pia kuna Watanzania wengi sana wapo...