Janga la Kimbunga Mh. Jaffo katuacha solemba watu wa Pwani

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,378
9,749
Tanzania tushazoeshwa na Mambo ya Kishirikina na kienyeji tushakuwa wabishi tu na kuwasingizia Wazungu kuwaita Mabeberu..

IImekuja Corona tumeambiwa Nyungu hadi kukawa na wiki za Nyungu...

Sasa hili la Kimbunga ndio tuendeleze Nyungu na kujifukiza au kuna linginelo la kienyeji Maana tumesoma lakini hatujaelimika...

Jaffo tunaomba muongozo... ndio mmetuzoesha sisi mnaotuita wanyonge ''what to do Mr. Capiteni'' alisikika mama Mmoja kwenye Janga la Kuzama Meri ya Titanic akimuuliza Capten Smith.. ndani ya Unsincable Titanic Ship..

au tukimbilie Chanika au wapi? tuliopo Dar.
 
Nyoosheni vidole vyenu vya mwisho kabisa mkononi huku mkiuelekeza upepo sehemu ya kupita na itapendeza muulekeze kupita Mozambique
 
hicho kimbunga kimeletwa na mabeberu, hiyo ni vita ya kiuchumi...au nasema uongo ndg zangu???
 
Maamuzi ya wiki za nyungu yalikuwa ya kumfurahisha mkuu na sio technical decision.
 
Back
Top Bottom