Mbunge Agnesta Kaiza ametaja ubambikizaji wa kesi nyingi za jinai kuwa sababu mojawapo ya mrundikano katika magereza. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma.
Amefafanua, "Kila leo unasikia fulani ana...
Tunashukuru kwa kutupatia pesa za Muungano nusu kwa nusu na Tanzania. Ubarikiwe sana na tunaomba uendelee kubaki madarakani kwa kipindi kirefu.
Kuna mambo mengine pia tunataka. Utupatie magari ya...
Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka.
Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi...
Muda/umri wa kustaafu Serikalini ikiwemo sekta binafsi.
Wafanyakazi wote wapunguziwe umri wa kustaafu na kuwa walau miaka 55 badala ya 60, siku hizi life span ya mwanadamu imekuwa ndogo, hii...
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana.
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Pengine...
Tangu Serikali kupitia ofisi ya Rais-TAMISEMI itangaze kutoa kipaumbele kwa walimu wanaojitolea na kuwataka wakuu wa mikoa na maafisa elimu kutuma taarifa za walimu hao ofisi ya Rais Tamisemi...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe"
Ndugai ametoa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Wizara nyingine pamoja na Taasisi zinaendelea na zoezi la kutafsiri Sheria zinazosimamia ili ifikapo Desemba 2021 Sheria zote ziwe...
Waziri mkuu Thailand Prayut Chan-o-Cha ametozwa faini ya $190 kwa kosa la kutovaa Barakoa baada kuwepo kwa tahadhali zaidi nchini humo.Prayut aliweka picha katika ukurasa wake wa facebook...
SONGWE: Katika kuongeza asilimia ya upatikanaji wa Maji vijijini kutoka 73% hadi kufika 100% za upatikanaji wa maji vijijini, Mkoa wa Songwe umepata fedha za utekelezaji wa miradi ya maji vijijini...
Ilikuwa ni Zanzibar tena kwenye hesabu kali za kuvurugwa na kuvurugika. Mara hii hesabu zilikuwa kali kuhakikisha kinatumika kivuli cha uchaguzi ili kuivuruga Zanzibar na mwelekeo wao wa kudai...
Katika Historia, ndugu Ally Masoud Maswanya ndio Mtu pekee alikataa Uteuzi wa Rais Magufuli.
Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya lakini siku ya kwenda kuapa hakutokea. Walipompigia simu akaape...
Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya...
Siku ambayo CCM watakubaliana kutenganisha nafasi ya Rais wa JMT na mwenyekiti wa CCM basi watakuwa wanajichimbia kaburi na watadumbukia mara baada ya kufunga mkutano kitakachobaki ni wananchi...
Chadema inajua kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ilishindwa kihalali kabisa lakini kwa tabia hizi hizi za uongo uongo siasa za utapeli utapeli wanataka kulazimisha na kuwaaminisha watu...
Mh.@nape_nnauye nina muheshimu saana ila vyema aache unafiki kidogo.
Jimbo la Mheshimiwa NAPE, Mtama huko Lindi katika uchaguzi wa 2020 .Ni Jimbo ambalo lilipita bila kupingwa ,yeye alikuwa ni...
CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO
Na Philipo Mwakibinga.
0758910403.
Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba...
Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili...
Unajua Sita alikuwa hana hela akaenda kukopa kwa watu wawili ,akihitajia shilingi mia tu ,hivyo akakopa kwa kila mmoja shilingi 50 .akatimiza mia.
Akaelekea dukani ,akanunua begi la shilingi mia...
Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.