CHADEMA wanajua kuwa ni waongo na hawamuogopi hata Mungu kwa kuongopa na wanautetea uongo kwa nguvu zote

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,385
3,894
Chadema inajua kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ilishindwa kihalali kabisa lakini kwa tabia hizi hizi za uongo uongo siasa za utapeli utapeli wanataka kulazimisha na kuwaaminisha watu kuwa uchaguzi uliporwa hawa watu ni waongo sana na hawatakiwi kuaminiwa tena.

Nilidhani baada ya kuongopa wataacha kutenda dhambi lakini bado hawa watu wanatenda dhambi mbaya sana ya kuwanyanyasa wanawake ambao wamepatikana kihalali wanawakosea heshima na kuwadhihaki na wanaowaonea hawa wanawake ni wanaume.

Chadema wanajua kuwa akina Halima mdee wako kihalali kwa mjibu wa sheria na katiba ya nchi.

Chadema uongo ukiziidi mtapata adhabu kali ya kupotea kwenye ulingo wa siasa jitafakarini mmegeuka kuwa kijiwe cha wahuni na Matapeli badilikeni msipobadilika na mkashupaza shingo mtavunjika ghafula.

Zitiini mamlaka za Serikali na nyie zitawatii msipende kuvunja sheria hafu baadaye mtegemee mteremko.

Kingine jiandaeni kwa maumivu makali kwenye utawala wa mama maana matumaini yenu ya kumpelekesha yalikuwa 100% lakini nawaambieni kuwa mtamkumbuka Magufuli huyu mama si muongeaji tu lakini amenyooka kama ruler kwa 100% mkitaka kuendana naye tiini sheria za nchi.
 
Ni Kheli Kuwa Muongo kuliko Kuiba Kura na Kukimbia na Mabagi yenye kura kwa 100%. However, toa Ushahidi usiotia Shaka Kama wale wamama- 19 wana baraka za CHADEMA.

Wale ni wabunge wa Ndugai wala sio wabunge wa JMT. Umeandika Mafyongo Kuhusu uchaguzi wa Octoba, 2020, waulize Jimbo la Kawe kwa Gwajima.

Ule haukuwa uchaguzi bali Uchafuzi. Everyone know what happened except an insane like you.
 
Ni Kheli Kuwa Muongo kuliko Kuiba Kura na Kukimbia na Mabagi yenye kura kwa 100%. However, toa Ushahidi usiotia Shaka Kama wale wamama- 19 wana baraka za CHADEMA. Wale ni wabunge wa Ndugai wala sio wabunge wa JMT. Umeandika Mafyongo Kuhusu uchaguzi wa Octoba, 2020, waulize Jimbo la Kawe kwa Gwajima... Ule haukuwa uchaguzi bali Uchafuzi..everyone know what happed except an insane like you.

Hiyo heri ya muongo inatoka wapi sasa🤔🤔
 
Huwa ni kawaida ya nyumbu kuona yuko salama mbele ya mdomo wa Simba.

Rais Samia wanyooshe tena.
 
Kwanza nikuambie Chadema haijawahi kuwa na Mfumo dume. Pili Uchaguzi ulipita hata wewe mwenyewe ni shahidi ni jinsi gani uliendeshwa ili kukipa ccm ushindi. Tatu Chadema haijawahi na haitawahi kutegemea kubebwa na Wenye Mamlaka. Chadema ni Chama cha Siasa kilichofanikiwa kujijengea Mfumo imara na ndiyo maana Wasaliti wote walipoondoka Chama bado kilibaki imara.

Kama mnawapenda wale covid-19 au nawe ni miongoni mwao basi anzisheni Chama chenu cha NLP (Ndugai & Ladies Party).
 
Back
Top Bottom