Nape Nnauye aache unafiki

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,874
Mh.@nape_nnauye nina muheshimu saana ila vyema aache unafiki kidogo.

Jimbo la Mheshimiwa NAPE, Mtama huko Lindi katika uchaguzi wa 2020 .Ni Jimbo ambalo lilipita bila kupingwa ,yeye alikuwa ni mgombea wa huko na alipita bila kupingwa.

Yeye alikuwa ni mshiriki kwa asilimia zote ili apite bila kupingwa na mgombea mwenyewe nguvu wa Chadema aliyekuwepo Seleman Mathew alipangiwa njama kuzuiwa ili asishiriki uchaguzi. Kumfanyia vigisu na kumpangia njama mgombea mwenzako asishiriki ili upite wewe ni sawa tuu na kumuwekea pingamizi, ingawa Pingamizi ni formal disfranchisement na figisu alizofanyiwa Seleman Mathew Mtama ni informal Disfranchisement.

Tarehe 24 ,Agosti 2020, Mgombea Ubunge wa Chadema Seleman Mathew alienda katika Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi ili kuweza kuhakiki fomu mbele ya afisa wa uchaguzi aliyekuwepo ofisini.

Muda si mrefu, Ma afisa wa Takukuru wakaingia na kumkamata Seleman Mathew ikumbukwe tar 25 Augost ndio ilikuwa mwisho wa kurejesha fomu , Seleman Mathew akalazwa ndani na tarehe 25 Saa 10:30 jioni akapelekwa mahakamani (uliona wapi Mahakamani ya saa 10:30 jioni ) kwanini hakupelekwa asubuhi ? .Hadi anaachiwa na kupewa dhamana muda wa kurejesha fomu ukawa umeisha.Hivyo Nape kupita bila kupingwa na sasa hivi ni Mbunge anayetamka eti hapendi mapingamizi .

Kesi aliyofunguliwa Seleman Mathew ni kesi ya kupanga njama kutoa Rushwa kwa Afisa wa uchaguzi ili atangazwe yeye Oktoba 28, 2020. Kwani Afisa wa uchaguzi ndiye anayetangaza matokeo au matokeo yanatangazwa na Msimamizi wa uchaguzi?

Hivyo kesi hiyo ilipofika Desemba 2020 ilifutwa.

Hivyo Nape hana moral Authority kuzungumzia mapingamizi sababu amekuwa mshiriki mkubwa sababu yupo Bungeni sio kwa ushindani na mamlaka ya wananchi kumchagua ila kama aliteuliwa tuu baada ya kupita bila kupingwa .

Nitaendelea kukubaliana na @nape_nnauye
Katika maeneo mengine ila sio hili la yeye kuonesha kuchukizwa na pingamizi ,hata Kama anasemea uchaguzi wa Serikali za mitaa ,alipaswa kuonesha mfano wa kuchukizwa na hayo katika uchaguzi mkuu .Hivyo anataka kutuambia uchaguzi wa Serikali za mitaa alichukizwa Ila Uchaguzi mkuu hakuchukizwa sababu alikuwa ni mgombea?
 
Mh.@nape_nnauye nina muheshimu saana ila vyema aache unafiki kidogo.

Jimbo la Mheshimiwa NAPE ,Mtama huko Lindi katika uchaguzi wa 2020 .Ni Jimbo ambalo lilipita bila kupingwa ,yeye alikuwa ni mgombea wa huko na alipita bila kupingwa.

Yeye alikuwa ni mshiriki kwa asilimia zote ili apite bila kupingwa na mgombea mwenyewe nguvu wa Chadema aliyekuwepo Seleman Mathew alipangiwa njama kuzuiwa ili asishiriki uchaguzi. Kumfanyia vigisu na kumpangia njama mgombea mwenzako asishiriki ili upite wewe ni sawa tuu na kumuwekea pingamizi ,ingawa Pingamizi ni formal disfranchisement na figisu alizofanyiwa Seleman Mathew Mtama ni informal Disfranchisement.

Tarehe 24 ,Agosti 2020 , Mgombea Ubunge wa Chadema Seleman Mathew alienda katika Ofisi ya msimamizi wa uchaguzi ili kuweza kuhakiki fomu mbele ya afisa wa uchaguzi aliyekuwepo ofisini.

Muda si mrefu ,Ma afisa wa Takukuru wakaingia na kumkamata Seleman Mathew ikumbukwe tar 25 Augost ndio ilikuwa mwisho wa kurejesha fomu , Seleman Mathew akalazwa ndani na tarehe 25 Saa 10:30 jioni akapelekwa mahakamani (uliona wapi Mahakamani ya saa 10:30 jioni ) kwanini hakupelekwa asubuhi ? .Hadi anaachiwa na kupewa dhamana muda wa kurejesha fomu ukawa umeisha.Hivyo Nape kupita bila kupingwa na sasa hivi ni Mbunge anayetamka eti hapendi mapingamizi .

Kesi aliyofunguliwa Seleman Mathew ni kesi ya kupanga njama kutoa Rushwa kwa Afisa wa uchaguzi ili atangazwe yeye Oktoba 28, 2020. Kwani Afisa wa uchaguzi ndiye anayetangaza matokeo au matokeo yanatangazwa na Msimamizi wa uchaguzi ?

Hivyo kesi hiyo ilipofika Desemba 2020 ilifutwa .

Hivyo Nape hana moral Authority kuzungumzia mapingamizi sababu amekuwa mshiriki mkubwa sababu yupo Bungeni sio kwa ushindani na mamlaka ya wananchi kumchagua ila kama aliteuliwa tuu baada ya kupita bila kupingwa .

Nitaendelea kukubaliana na @nape_nnauye
Katika maeneo mengine ila sio hili la yeye kuonesha kuchukizwa na pingamizi ,hata Kama anasemea uchaguzi wa Serikali za mitaa, alipaswa kuonesha mfano wa kuchukizwa na hayo katika uchaguzi mkuu. Hivyo anataka kutuambia uchaguzi wa Serikali za mitaa alichukizwa Ila Uchaguzi mkuu hakuchukizwa sababu alikuwa ni mgombea?

IMG_20210425_140123_010.jpg
 
Mzee wa goli la mkono anayeshangiliwa na Chadema!
Allways nyumbu akitaka kuvuka mto akiliyake inakuwa tumboni tu kuwahi majani mabichi akale.
Hangalii mamba, anarukia mto kipumbavu matokeo yake kabla hajafika kwenye nyasi ili ale analiwa yeye.
 
Back
Top Bottom