Rais wetu mama Samia anapenda kusema yeye na Mwendazake ni kitu kimoja?, lakini kimatendo tunaona utofauti , mama kafanya mabadiliko kuanzia serikali yake hadi kwenye sekretari ya chama, tumeona...
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto imeanza kuandaa muswada wa sheria itakayosimamia uvunaji viungo vya binadamu zikiwemo figo, maini, moyo na mapafu ili vipandikizwe kwa...
Mahakama ya wilaya ya Mkoa wa Arusha imemwachia huru mfanyabiashara Maarufu wa madini ya Tanzanite jiiini Arusha Lucas Mdeme(46) na mwenzake Nelson Lyimo(58) waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka...
NILIKUTANA NA CHAWA GEGEDU AKIMPONDA HAYATI RAIS MAGUFULI,NIKAMJIBU KAMA IFUATAVYO.
Chawa Gegedu: Magufuli kaharibu uchumi na kuhurudisha itachukua miaka saba.
Msemakweli: Sasa Magufuli kaharibu...
Hotuba za wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu. Wanasoma hotuba Kama hizi kwa mara ya Kwanza toka mwaka 2016 ndoto zakuandika uhalisia wa...
Wakati nikiwa mdogo enzi hizo niliamini kabisa katika kupewa kitu bila kudaiwa na mtoaji hasa pale mtoaji anapokuwa na uwezo ki uchumi
Hii imani niliijenga kwa sababu ndugu zetu waliobahatika...
Viongozi na watendaji walioshiriki kuumiza na kunyanyasa watu kwa sababu ya madaraka na kumlinda kiongozi bado wanaamini Mungu akuwaona?
Je bado wanakula mema ya nchi Kama walivyotegemea au...
Baraza la wanawake mkoa wa Mbeya , limetishia kuhamasisha maandamano ya wanawake nchi nzima kulishinikiza bunge kuwaondoa Bungeni, wabunge 19 wa viti maalumu wanaodaiwa kutokana na CHADEMA...
*UBALOZI WA MAREKANI, MBONA KWENYE HILI LA RAIA WENU KUINGIA TANZANIA AKIWA NA CORONA MMEKAA KIMYA?.*
Jana raia mmoja wa Marekani mwenye umri wa miaka 61 ambaye ni mfanyakazi wa Ubalozi wa...
Kwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa...
Sababu zao ni chache tu...
Uonevu
Unyanyasi
Ufisadi
Unafiki
Mauaji
Upendeleo
Udanganyifu
Taratibu GENTAMYCINE naanza Kuogopa na kuna nchi moja ( nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja ) naona na...
DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita.
Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, makao makuu ya chama, Dodoma
Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo.
Chama cha Mapinduzi(CCM) kinafanya Mkutano Mkuu...
Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Wanasiasa wote nia yao ni moja: Pesa na Madaraka.
Kwenye pesa na madaraka kikweli haijalishi ni chama gani, mtauana.
Hizi kelele za katiba zinapigwa na watu wasionufaika na katiba iliyopo, ila...
Mabibi na mabwana kwa takwimu zilizopo na yale tuliyopata kuyasikia tokea kwa watendaji wake wakuu, CCM 2015 - 2021 ndicho kipindi chama hicho kilikuwa na mafanikio makubwa zaidi katika historia...
Mbunge wa CCM Singida Kaskazini, inadaiwa leo katika mkutano wa hadhara amesikika akisema kuwa CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya na waoga!
lazaronyalandu: NIMEZUNGUMZA na wananchi...
Kwakuwa hakuna aijuae kesho kwa maana leo unaweza kuwa mzima na kesho ukatangulia mbele za haki au kupata ulemavu wa Kudumu, n.k, ni sahihi kuishi kwa kutegemea matakwa au fadhila za binadamu...
Ninajua kabla ya Corona uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia 6.9 lakini kufuatia anguko la uchumi wa dunia uliosababishwa na covid 19 uchumi wetu nao umeanguka na sasa unakua kwa 4.7%
Ndio...