Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake.
Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni...
Miaka takriban 30 chama kinamtukia mtu huyo huyo aliyeishiwa mbinu kutoa mbinu mpya wakitegemea kushida chaguzi.
Misingi ya demokrasia ni pamoja na ukomo wa uongozi kikatiba ili kupata fikra mpya...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kimefanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama, White House Jijini Dodoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na...
Niko hapa Dodoma kwa majuma kadhaa sasa. Niko kwa kazi maalum ya kichama: kuhakikisha bila kutisha kuwa Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakuwa Mwenyekiti wa CCM...
Ndiyo!
Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia
Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie...
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .
Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu...
“#Corona mpaka sasa hivi haijaua mtu hata mmoja hapa #Tanzania…lakini tunatishana sana…ninaanza kupata wasiwasi kwamba inafika mahali mpaka watu tumeanza kumsahau Mungu,” - Rais Magufuli...
Tangu uingie madarakani, haujawahi kuhutubia taifa live kupitia vyombo vya habari, badala yake umekuwa ukitoa salaam kupitia msemaji wako. Hali hii haijengi umoja na mshikamano.
Tofauti na...
Hii Kampuni ya Green Miles baada ya Huu ushenzi wake katika uwindaji na kuvunja Sheria za Kimataifa na za Nchi Yetu hatimaye ilifutiwa Leseni na Mh Waziri wa Maliasili kipindi hicho (Lazaro...
Huyu Mwanasiasa nadhani ndiye aliyefungua malango ya kuunga juhudi za mwendazake enzi hizo anatoka CUF kuelekea CCM kwa dharau na mikogo na kashfa nyingi huku akiwatukana wapinzani na ule upala...
Sitaki kwenda deep , ila ninachowashauri Wanasheria (TLS) badilisheni katiba yenu/sheria at least Rais wa TLS akae madarakani kwa miaka 3. Urais wa TLS hauna impact ya maana kwenye Nchi.
Ni kama...
Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba...
Kama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza.
Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22.
Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana...
Wadau salaam, kipindi cha awamu ya 5 kuna baadhi ya watu waliondolewa kwenye nafasi za uongozi wa taasisi za umma kwasababu ya kua opposition, mfano aliyekua mwenyekiti wa bodi ya shule ya...
Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona...
Hawa vijana wachumia tumbo miaka yote tuliwaona kwenye kampeni za uchaguzi ulioshirikisha vyama vingi, tukadhani labda lengo lao ni kuisaidia CCM, sasa cha ajabu sasa hata huko CCM kwenyewe nako...
Waziri wa Kigwangalla afuta umiliki wa kitalu uwindaji cha kitalii cha Lake Natron kilichokuwa kinamilikiwa na kampuni ya Green Miles
More on Green Mile Safari...
Nawasalimu kwajina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kutokana na wimbi la vijana wasio na ajira kushamili nchini tunahitaji kuwa na maandamano ya wanavyuo kuidai ajira. Kundi pekee ambalo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.