Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana tumeona TBC Taifa wametoa habari ya Usalama Kazini na kuwahoji vijana wanaofanya kazi barabara ya Mwenge hadi Morocco. Vyombo vingine tulijulishwa na wafanyakazi fulani wiki iliyopita lakini...
1 Reactions
4 Replies
984 Views
July 14th 2014 The Citizen reported on the illegal hunting tactics used by GMS (Green Miles Safari) a UAE company registered to hunt in Selous National Park. The allegations included allowing...
3 Reactions
21 Replies
7K Views
For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology...
3 Reactions
69 Replies
8K Views
Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua". Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu...
18 Reactions
220 Replies
14K Views
Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa. Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia. Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao. Pamoja na kulalamikiwa imekuwa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Katika hali ya kawaida upinzani na upande wa chama tawala hukutana katika sanduku la kura au majengo ya kutunga sheria. Ila panapokuwa na vikao vya faragha, vyenye lengo la kuletea suluhu kati ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu! Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa...
64 Reactions
146 Replies
11K Views
Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni ajabu sana hawa vijana machachari wenye uwezo mkubwa wa kulinganisha na kufaninisha utendaji wa watu kushindwa kuzungumzia hata kwa kificho, tetesi zinazoenea mitandaoni za kutaka kutenganisha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi nimeona nifungue mada ya pembeni na ya kujitegemea ili kutaka kujua ukweli juu ya Mzee Melecela. Maana nimesoma mengi yakisemwa kwamba ni chuki dhidi ya Mzee huyu . Sasa najiuliza hizo chuki...
1 Reactions
344 Replies
67K Views
Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Naamini sijakosea kukuita Mwenyekiti mpya wa CCM, leo siku moja kabla ya uthibitisho wako. Naamini utakuwa ndiye tena kwa kura zoote, ni suala la muda tu. Mheshimiwa Mwenyekiti naomba nikueleze...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wote mnajua kuwa baada ya kumchagua mama kuwa mwenyekiti wa chama hapo kesho anakwenda kufanya uteuzi mkubwa wa kihistoria. Anakwenda kuteua wakuu wa wilaya, maDED, wakuu wa mikoa n.k Karibia...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Baba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na...
13 Reactions
79 Replies
5K Views
Wakuu nachofanya mimi ni uchambuzi wangu huru ,TUTAFAKARI! Ni wazi mabadiliko ya mkuu wa nchi ni hatari na neema kwa makundi mbalimbali maslahi kimaslahi ,Mfano leo wapinzani kwa mara ya kwanza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
KWA MANTIKI YA KISHERIA DC KIHONGOSI AMEKOSEA, LAKINI KWA MANTIKI YA WAJIBIKAJI YUKO SAHIHI Na Elius Ndabila 0768239284 Jana na leo kuna mjadala mkubwa juu ya uhalali wa Mh DC wa Arusha Mh...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom