Je, kwa ukuaji wa uchumi wa 4.7% bado tuko kwenye uchumi wa kati au tumerudi kulekule? Kwako Dr Mwigullu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Ninajua kabla ya Corona uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia 6.9 lakini kufuatia anguko la uchumi wa dunia uliosababishwa na covid 19 uchumi wetu nao umeanguka na sasa unakua kwa 4.7%

Ndio namuuliza Dr Mwigullu Nchemba, je bado tuko kwenye uchumi wa kati au anguko hili limepunguza per capita ya mtanzania?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Kazi Iendelee!
 
Ni lini umeshawahi kumsikia Mwigulu anaongelea suala la uchumi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom