Naunga mkono hoja, hoja za wapinzani zipitie kwa Shibuda ndio ziende kwa Rais Samia Suluhu

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,174
27,219
Peopleeee'sss Powerrrrrrrr

Hii salamu huwa naikubali Sana. Twende kwenye hoja, Mama Samia ameonekana kucheza vyema siasa zake na hakika huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi, hakika huyu ni Joshua.

Mama Samia ataimarisha na kuipeleka mbali zaidi CCM maana Leo amesema wapo wengi wapi njiani kuja CCM.

Tutegemee wengi wakihamia CCM Tena wengi kuliko wale wa kipindi kile Cha Magufuli.

Hivyo kwa kuwa wengi watahamia CCM hakuna Tena haja ya mama kukutana na upinzani, badala yake hoja zote walizonazo madukuduku yote waliyonayo yapitie kwanza kwa Shibuda Kama walivyoelezwa hapo awali.

Maana wakienda direct Kama wanavyotaka Kuna hatihati wakaunga juhudi siku hiyohiyo.

#mama shikilia hapo hapo# kanyaga twende#
 
Mama Samia tayari ashatoa barua ya wito wa kukutana na mwenyekiti wa chadema mh Mbowe.

Najua wewe huwezi kujua maana hata hapo lumumba ulipajua kwa nje siku unatoka railway ulipo shuka kutoka kwenu izumba baghinghiii
 
Praise and worship mmeanza tena 🤣🤣🤣 eti Joshua, shauri yenu endeleeni kufananisha na mitume na manabii ambao waliongea na Mungu sauti kwa sauti.
 
Back
Top Bottom