Kwako Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Status
Not open for further replies.

laptop90

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,180
2,000
Tunakupongeza kwa kuteuliwa kwenda kulisimamia shirika kubwa la NSSF ambalo kabla ya hapo alikuwepo bwana Erio.

Baada ya pongezi zangu nikupe dondoo za kitu cha kufanya mara uingiapo na kuanza kazi.

Kwanza ujue Erio alikuwa ni mtu wa aina gani.

Kwa ufupi Erio ni kati ya watu wabaya sana ambao wanaweza kuwa wanakuchekea huku wanakuua. Ni mtu hatari sana sana, alijitahidi kupenyeza kila namna aweze kubaki ila maombi ya wafanyakazi wa iliyokuwa NSSF(kabla ya mifuko kuungana) na yeye kuweza kumfitini mtangulizi wake Profesa Kahyarara (sasa Katibu Mkuu Uwekezaji) na akaondolewa pale NSSF yeye akatake over.

Huyu bwana Erio kuingia NSSF aliamua kuja na management yake toka PPF na kuwafitini wale walokuwa wanakaimu nafasi za kurugenzi baada ya managemet ya Dau kuondolewa.

Aliwafitini na kuwapeleka jela kwa uhujumu uchumi na baadae waliachiwa baada ya marehemu JPM kujua ukweli.

Sasa huyu Erio aliamua kuja na management na kuwapandisha vyeo maafisa toka PPF hadi nafasi ya Umeneja na kuwaacha waliopigana na kulifanya shirika liwe lilipo sasa.

Alijenga chuki dhidi ya waliokuwa wafanyakazi wa NSSF kiasi cha kuwanyima haki zao nyingi na hata kuvunja umoja wao wa NSSF hiari ambao walikuwa na utaratibu wa kujichangia asilimia 10 ya mshahara wao kama voluntary scheme nje ya utaratibu wa kuchangia kwa lazima ambako walikuwa wanachangia PPF kabla ya merging.

Huyu bwana ameshirikiana kwa karibu sana na mkurugenzi wa fedha (DF) katika kuwanyanyasa na kutoa lugha za matusi kwa staff wa zamani wa NSSF na kupelekea wengi kustaafu ktk miaka 55

Waliobaki waliamua kila mmoja kusali kwa imani yake ili mradi siku iishe na Mungu aoneshe njia mpya.

Sasa wewe Mr Mshomba umeingia hapo hatua ya kwanza angazia idara ya Finance na Human Resource.

Hawa watakukwamisha na au kukufitini ili wakuondoe.

Anza na Mtu anaitwa Ruchunga na Mganga huku ukifuatilia kwa karibu DIT atakaehujumu mfumo wa kompyuta.

Kuwa karibu sana na wafanyakazi wa zamani wa shirika wakupe ushirikiano na utafanikiwa kujianasua na mitego mingi na uchawi alioweka Erio ktk ofisi yake.

Usikubali kukaa ktk ofisi ya mtangulizi wako maana alikuwa mchawi sana atakuwa kaweka mambo ya ajabu ajabu ktk ofisi hiyo

Itisha vikao vya staff wote ili watoe kero zao. Hasa baraza kuu la wafanyakazi ambalo lina wawalikilishi toka kila mkoa.

Hakikisha mameneja wote wa mikoa ya Dar wanaondoka(omba vibali kwa Katibu Mkuu Kiongozi amuagize Katibu Mkuu Utumishi awapeleke sehemu nyingine) Bila kusahau mameneja walioteuliwa na Erio nje ya Utaratibu ambapo kila mtu alitakiwa aombe na usaili ufanyike kumpata mwenye sifa stahiki.

Mwisho nikutakie majukumu mema katika nafasi hii mpya.

Mungu akubariki
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,125
2,000
Kama dhuluma hizo zimefanyika basi bila shaka taarifa zote zitakuwa zimefika kwa Mama na huenda ndio sababu Mama amechukua hatua stahiki ya kumtumbua.

Hao waliobaki ni vyema kweli waangaliwe wamepataje nafasi walizonazo. Kama ikibainika walitumia ujanja ujanja na hujuma basi DG mpya anapaswa kuwaondoa wote kwenye Shirika na kuwapeleka kwenye Halmashauri mpya kule Songwe.

Hii ndio tunaita Karma.
 

celinawetu

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,304
2,000
Hahaaaa, kweli kabisa kuna jamaa mmoja nimesoma nae anaitwa Sassi nasikia huyu ndo nyoka wa Erio, alikua anafanya umbea na uwezo hana.
Huyu ni wa kumpa u afisa ustawi wa jamii huko Longido.
Kama dhuluma hizo zimefanyika basi bila shaka taarifa zote zitakuwa zimefika kwa Mama na huenda ndio sababu Mama amechukua hatua stahiki ya kumtumbua.

Hao waliobaki ni vyema kweli waangaliwe wamepataje nafasi walizonazo. Kama ikibainika walitumia ujanja ujanja na hujuma basi DG mpya anapaswa kuwaondoa wote kwenye Shirika na kuwapeleka kwenye Halmashauri mpya kule Songwe.

Hii ndio tunaita Karma.
 

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,349
2,000
KARMA
Kama dhuluma hizo zimefanyika basi bila shaka taarifa zote zitakuwa zimefika kwa Mama na huenda ndio sababu Mama amechukua hatua stahiki ya kumtumbua.

Hao waliobaki ni vyema kweli waangaliwe wamepataje nafasi walizonazo. Kama ikibainika walitumia ujanja ujanja na hujuma basi DG mpya anapaswa kuwaondoa wote kwenye Shirika na kuwapeleka kwenye Halmashauri mpya kule Songwe.

Hii ndio tunaita Karma.
 

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,349
2,000
Huko kwenye halmashauri kua afisa ustawi wa jamii hakuna kazi

Watapewa deski na gazeti la Uhuru wanasoma maneno yote then jioni wanarudi nyumbani.

Wengine wapelekwe shule za msingi wakafundishe
Sasaaa mkuu unavyomuombaa hawaamishe mikoa mingine c wataenda kufanya haya haya tu wanayoyafanya hapa dar kwann wasifukuzwa tu ili waajiriwe wengine
 

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
4,036
2,000
Huko kwenye halmashauri kua afisa ustawi wa jamii hakuna kazi,
Watapewa deski na gazeti la Uhuru wanasoma maneno yote then jioni wanarudi nyumbani.
Wengine wapelekwe shule za msingi wakafundishe
Ingekuwa kwetu kambini, hao adhabu yao mnawaambia wakae juani halafu waimbe wimbo wa Taifa kwa lugha zote za Tanzania 😃😃
 

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
1,917
2,000
Tunakupongeza kwa kuteuliwa kwenda kulisimamia shirika kubwa la nssf ambalo kabla ya hapo alikuwepo bwana Erio.
Baada ya pongezi zangu nikupe dondoo za kitu cha kufanya mara uingiapo na kuanza kazi.
Kwana ujie Erio alikua ni mtu wa aina gani.
Kwa ufupi Erio ni kati ya watu wabaya sana ambao wanaweza kua wanakuchekea huku wanakuua,
Ni mtu hatari sana sana, alijitahidi kupenyeza kila namna aweze kubaki ila maombi ya wafanyakazi wa iliyokua nssf(kabla ya mifuko kuungana) na yeye kuweza kumfitini mtangulizi wake Prof kahyarara (sasa katibu mkuu uwekezaji) na akaondolewa pale nssf yeye akatake over.
Huyu bwana Erio kuingia nssf aliamua kuja na management yake toka ppf na kuwafitini wale walokua wana act nafasi za kurugenzi baada ya managemet ya Dau kuondolewa.
Aliwafitini na kuwapeleka Jela kwa uhujumu uchumi na baadae waliachiwa baada ya marehemu JPM kujua ukweli.

Sasa huyu Erio aliamua kuja na management na kuwapandisha vyeo maafisa toka ppf hadi nafasi ya Umeneja na kuwaacha waliopigana na kulifanya shirika liwe lilipo sasa.
Alijenga chuki dhidi ya walokua wafanyakazi wa nssf kiasi cha kuwanyima haki zao nyingi na hata kuvunja umoja wao wa nssf hiari ambao walikuwa na utaratibu wa kujichangia asilimia 10 ya mshahara wao kama voluntary scheme nje ya utaratibu wa kuchangia kwa lazima ambako walikua wanachwngia ppf kabla ya merging.
Huyu bwana ameshirikiana kwa karibu sana na mkurugenzi wa fedha((DF) ktk kuwanyanyasa na kutoa lugha za matusi kwa staff wa zamani wa nssf na kupelekea wengi kustaafu ktk miaka 55,.
Waliobaki waliamua kila mmoja kusali kwa imani yake ili mradi siku iishe na Mungu aoneshe njia mpya.
Sasa wewe Mr Mshomba umeingia hapo hatua ya kwanza angazia idara ya finance na human resource.
Hawa watakukwamisha na au kukufitini ili wakuondoe.
Anza na Mtu anaitwa Ruchunga na Mganga huku ukifuatilia kwa karibu DIT atakaehujumu mfumo wa kompyuta.
Kuwa karibu sana na wafanyakazi wa zamani wa shirika wakupe ushirikiano na utafanikiwa kujianasua na mitego mingi na uchawi alioweka Erio ktk ofisi yake.Usikubali kukaa ktk ofisi ya mtangulizi wako maana alikua mchawi sana atakuwa kaweka mambo ya ajabuajabu ktk ofisi hyo

Itisha vikao vya staff wote ili watoe kero zao.
Hasa baraza kuu la wafanyakazi ambalo lina wawalikilishi toka kila mkoa.

Hakikisha mameneja wote wa mikoa ya Dar wanaondoka(omba vibali kwa katibu mkuu kiongozi amuagize katibu mkuu utumishi awapeleke sehemu nyingine) Bila kusahau mameneja walioteuliea na Erio nje ya Utaratibu ambapo kila mtu alitakiwa aombe na usaili ufanyike kumpata mwenye sifa stahiki.

Mwisho nikutakie majukumu mema katika nafasi hii mpya.

Mungu akubariki

Mods pls msifute wala kuunganisha uzi huu
Haya maujinga Ya Erio hakuanza leo, mbeleko ya marehemu mjombake ilimbeba sana,
Nimeona picha akikabidhi ofisi, my friend Masha be very careful na huyu afisa uhusiano.
Na ujue Erio ni mtu wa waganga, kuna siku alionekana Pugu na gari ya ofisi kwa mganga akiwa na kondoo na alipata ajali.
Piga maji ya baraka humo ofisini kabla ya kuingia na kuanza kazi,
Na ushauri alotoa huyu bwana uzingatie.
Tunakutakia tumaini lenye kheri
 

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,782
2,000
Rushwa ipo Sana katika kulipa MAFAO..

Wengine wanalipwa ndani ya miezi 8 ...na wengine ndani ya wiki 2. Ina maana Kuna mafaili ya watu wengine yanasogezwa Pembeni

Omba Special Audit ya CAG hapo utaweza kugundua wizi na kuwahamisha huyo finance na It

NSSF imeoza Sana

Na wafanyakazi wanakauli chafu Sana, kwa wanaodai mafao
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom