Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miezi zaidi ya mitano sasa inaelekea huku kukiwa na mvutano baina ya CHADEMA na Wanachama wake 19, walio Bungeni kwa sasa. Chama hicho kila kinapojitokeza hadharani kinaeleza kuwa Wanachama hao...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki...
18 Reactions
77 Replies
5K Views
Nina maswali machache sana. Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Ameeleza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu wa mwisho (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu; Mawaziri wa afya...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna vijana watano wapo mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Bugarama wilaya ya Msalala wanateswa kikatili, walikamatwa siku zaidi ya kumi zilizopita wakituhumiwa kuiba TV ya hawara yake na Polisi...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe. Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma...
19 Reactions
84 Replies
8K Views
GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
PDF la Lazaro _ Part 1. Kwa kuwa Mh Lazaro umerudi CCM, na umerudi kwa kuomba Msamaha, kwa dhati kabisa ukapokelewa pale kwenye mkutano mkuu maalumu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, na kwa...
23 Reactions
41 Replies
5K Views
Kiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
5 Reactions
63 Replies
11K Views
"... Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iweke mkakati madhubutu wa kupatikana fedha za kuboresha Makazi na Nyumba za Askari Wetu. Kama Fedha za ujenzi wa Barabara tunakata kwenye mafuta vivyo hivyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika...
6 Reactions
202 Replies
19K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ramadhan Semtawa na Tausi Mbowe, Dodoma WABUNGE wameendelea kuichambua Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2009/10, huku mbunge akihoji uamuzi wa serikali kutenga Sh19 bilioni kwa ajili ya chai na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Toka Huyu Mkwe Wa Rais Samia ateuliwa Kuwa Waziri Wa Menejimenti ya Utumishi Wa Umma Na Utawala Bora Amekuwa Ni Mtu Wa Kuwapiga Watumishi Wa Umma Mkwara Tu, Nadhani Anapashwa aende Taratibu...
2 Reactions
80 Replies
9K Views
Ukimsikiliza Rais mama Samia anavyo sema na kutenda utagundua kuwa hawa ni watu wawili tofauti bali mengine ni kauli za kisiasa tuu.
19 Reactions
74 Replies
7K Views
Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine...
15 Reactions
50 Replies
8K Views
Wasalaam wanachama! Nimekaa muda mrefu nikiwa natafakari kitu kilichowekwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (Value retention fee -VRF 6%) lengo lake hasa lilikuwa lipi? Je! Walikosea kuweka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa. Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya...
12 Reactions
338 Replies
37K Views
Kaka yangu Lazaro Nyalandu kama wajumbe walikua 30, Lissu akapata 24 ilikuaje ukamgaragaza? Hizi hesabu zako mbona hazifuati formula ya MAGAZIJUTO? Kama Lissu alipata 24 kati ya 30 it means wewe...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…