Gender stigmatization: CHADEMA kushinikiza kufukuzwa Wabunge Viti Maalum

blix22

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
213
645
GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM

CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge wa viti maalum.

Ndugai alisema kwamba kitendo cha CHADEMA kuwavua ubunge wanawake hao ni udikteta kwa kuwa hawakusikilizwa pia ni ukandamizaji wa wanawake uliofururu ada.

Wanaoshinikiza mpango huo ni John Mnyika na wanawake wa CHADEMA ambao wanadaiwa kuuza utu wao na kudhalilisha miili yao kwa ajili ya madaraka.

Aidha, CHADEMA bila aibu yoyote wanatarajia kuitisha maandamano ya kupinga ubunge wa kinamama hao waliokuwa watetezi wakubwa wa wanawake ndani ya Chama.

Itakumbukwa kuwa, Halima Mdee na wanawake wengine 19 waliopo bungeni ndio wanawake wasiomuogopa yoyote pindi wanaposimama kutetea haki.

Watanzania tunapaswa kupuuza ujinga unaofanywa na CHADEMA na badala yake tuendelee kufuata maagizo ya Mama yanayotutaka tufanye kazi kwa bidii ili tusipate laaana.
 
Mkuu wewe unaangalia gonorea uliyonayo badala ya kuangalia chanzo Cha gono yenyewe na ukipenda hospitali utaambiwa kamlete mwenza wako.

Point yangu hapa shida sio wao kuwa bungeni au kufukuzwa uanachama Bali Nani aliwateua kwenda bungeni? Mamlaka za uteuzi ndani ya chama hazijafanya uteuzi. Walipoombwa waende kujieleza wakikataa.

Chama Kama taasisi kinawatambua Kama wananchama wake na walitumia uachama wao kwenda bungeni pasipo taratibu Hali na za kisheria kufuatwa. Hivyo waliwavua uananchama kwa utovu wa nidhamu na kuepuka matendo yao kuwa matendo ya chama.

Sasa kuvuliwa huko kunatokana na matendo yao ya utovu wa nidhamu na sio jinsia yao. Hivyo wanapeea adhabu kutokana na makosa yao na sio jinsia yao
 
Heshima kwako mkuu! Unaonekana Wewe ni mtetezi wa ‘wanyonge’ na hasa wanawake 19 wa CHADEMA! Labda ungezingatia tu kwamba CHADEMA ina melfu ya wanawake, ambao wana nafasi rasimi za uongozi ndani ya chama.

Kuna ambao waliathirika na ubakaji wa demokrasia kwenye ule ‘uchafuzi’ mkuu wa 2020! Kwanini utetezi wako wa ‘wanyonge’ hasa wanawake, usiende hatua moja zaidi, utetee hao pia?

Kulikua na wabunge 8 wa viti maalumu CUF ambayo walitimuliwa bungeni, afu wapya wakaapishwa fasta fasta, pamoja na kukataa rufaa mahakamani! Ulikuwaga wapi ndugu ‘mtetezi’ wa ‘wanyonge’, when we needed you most!
 
Sawa.
Wawafukuze hiyo hela waliyokuwa wanalipwa WATUMISHI WAONGEZEWE MISHAHARA
 
GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM

CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge wa viti maalum.

Ndugai alisema kwamba kitendo cha CHADEMA kuwavua ubunge wanawake hao ni udikteta kwa kuwa hawakusikilizwa pia ni ukandamizaji wa wanawake uliofururu ada.

Wanaoshinikiza mpango huo ni John Mnyika na wanawake wa CHADEMA ambao wanadaiwa kuuza utu wao na kudhalilisha miili yao kwa ajili ya madaraka.

Aidha, CHADEMA bila aibu yoyote wanatarajia kuitisha maandamano ya kupinga ubunge wa kinamama hao waliokuwa watetezi wakubwa wa wanawake ndani ya Chama.

Itakumbukwa kuwa, Halima Mdee na wanawake wengine 19 waliopo bungeni ndio wanawake wasiomuogopa yoyote pindi wanaposimama kutetea haki.

Watanzania tunapaswa kupuuza ujinga unaofanywa na CHADEMA na badala yake tuendelee kufuata maagizo ya Mama yanayotutaka tufanye kazi kwa bidii ili tusipate laaana.
Hivi hata wewe unajiona una akili au bwabwa?!
 
Mkuu wewe unaangalia gonorea uliyonayo badala ya kuangalia chanzo Cha gono yenyewe na ukipenda hospitali utaambiwa kamlete mwenza wako.

Point yangu hapa shida sio wao kuwa bungeni au kufukuzwa uanachama Bali Nani aliwateua kwenda bungeni? Mamlaka za uteuzi ndani ya chama hazijafanya uteuzi. Walipoombwa waende kujieleza wakikataa.

Chama Kama taasisi kinawatambua Kama wananchama wake na walitumia uachama wao kwenda bungeni pasipo taratibu Hali na za kisheria kufuatwa. Hivyo waliwavua uananchama kwa utovu wa nidhamu na kuepuka matendo yao kuwa matendo ya chama.

Sasa kuvuliwa huko kunatokana na matendo yao ya utovu wa nidhamu na sio jinsia yao. Hivyo wanapeea adhabu kutokana na makosa yao na sio jinsia yao
Umemjibu kwa upole sana, unadhani hajui? Wanafanya makusudi tu
 
GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM

CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge wa viti maalum.

Ndugai alisema kwamba kitendo cha CHADEMA kuwavua ubunge wanawake hao ni udikteta kwa kuwa hawakusikilizwa pia ni ukandamizaji wa wanawake uliofururu ada.

Wanaoshinikiza mpango huo ni John Mnyika na wanawake wa CHADEMA ambao wanadaiwa kuuza utu wao na kudhalilisha miili yao kwa ajili ya madaraka.

Aidha, CHADEMA bila aibu yoyote wanatarajia kuitisha maandamano ya kupinga ubunge wa kinamama hao waliokuwa watetezi wakubwa wa wanawake ndani ya Chama.

Itakumbukwa kuwa, Halima Mdee na wanawake wengine 19 waliopo bungeni ndio wanawake wasiomuogopa yoyote pindi wanaposimama kutetea haki.

Watanzania tunapaswa kupuuza ujinga unaofanywa na CHADEMA na badala yake tuendelee kufuata maagizo ya Mama yanayotutaka tufanye kazi kwa bidii ili tusipate laaana.
 
GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM

CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge wa viti maalum.

Ndugai alisema kwamba kitendo cha CHADEMA kuwavua ubunge wanawake hao ni udikteta kwa kuwa hawakusikilizwa pia ni ukandamizaji wa wanawake uliofururu ada.

Wanaoshinikiza mpango huo ni John Mnyika na wanawake wa CHADEMA ambao wanadaiwa kuuza utu wao na kudhalilisha miili yao kwa ajili ya madaraka.

Aidha, CHADEMA bila aibu yoyote wanatarajia kuitisha maandamano ya kupinga ubunge wa kinamama hao waliokuwa watetezi wakubwa wa wanawake ndani ya Chama.

Itakumbukwa kuwa, Halima Mdee na wanawake wengine 19 waliopo bungeni ndio wanawake wasiomuogopa yoyote pindi wanaposimama kutetea haki.

Watanzania tunapaswa kupuuza ujinga unaofanywa na CHADEMA na badala yake tuendelee kufuata maagizo ya Mama yanayotutaka tufanye kazi kwa bidii ili tusipate laaana.
Kwa nini tupuuze UPUMBAVU unaofanywa na spika badala ya kuwaonea CHADEMA?
 
Ukilipwa kwa kazi hii itabidi ufungwe. Bure kabisa
 
Back
Top Bottom