Mohammed Mchengerwa apunguze vitisho kwa watumishi na viongozi wa umma

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Toka Huyu Mkwe Wa Rais Samia ateuliwa Kuwa Waziri Wa Menejimenti ya Utumishi Wa Umma Na Utawala Bora Amekuwa Ni Mtu Wa Kuwapiga Watumishi Wa Umma Mkwara Tu, Nadhani Anapashwa aende Taratibu Hata Kama Anatokana na Nyumba Kuu.

Screenshot_20210503-195938.jpg
 
Wakuu Toka Huyu Mkwe Wa Rais Sasha Ateuliwa Kuwa Waziri Wa Menejimenti ya Utumishi Wa Umma Na Utawala Bora Amekuwa Ni Mtu Wa Kuwapiga Watumishi Wa Umma Mkwara Tu, Nadhani Anapashwa aende Taratibu Hata Kama Anatokana na Nyumba Kuu.View attachment 1772446

Ni vizuri kwanza tuanze kujua CV yake
 
Mnataka muendeleee kutuvimbia sio? Kuna watu unaenda ofisini kwake kuhitaji huduma fulani basi hizo danadana utakazokutana nazo mpaka unafanikisha upo hoi... Acha muambiwe ukweli tu
 
Tena awakomeshe, huko utumishi wanajiona miungu watu, barua kusainiwa miezi 6, malipo kuidhinishwa nenda rudi zisizo na mwisho, utopolo mtupu, kazi kunywa chai na kupiga story, nasema Waziri, katoa tahadhari, wazembe mchukue hatua.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom