Mbunge wa Igunga Nicholaus Ngassa: Wizara ya Mambo ya Ndani iweke mkakati madhubuti wa kuboresha makazi ya askari

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
585
906
"... Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iweke mkakati madhubutu wa kupatikana fedha za kuboresha Makazi na Nyumba za Askari Wetu.

Kama Fedha za ujenzi wa Barabara tunakata kwenye mafuta vivyo hivyo tunaweza kuamua Fedha za ujenzi wa Makazi ya Askari tukakata Asilimia tano Mpaka kumi kwenye tozo na faini zilizopo Kwenye Wizara alafu ukaundwa Mfuko Maalum.

Jeshi la Magereza nikapewa kusimamia ujenzi wa Makazi ya Askari wote waliopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa utaratibu wa "force account".

Sehemu ya Hotuba ya Mhe Ngassa (Mbunge wa Igunga) akichangia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 
Anakumbushia tu kauli ya Mwendazake, hana jipya huyo dogo.
 
Askari wepi? Hawa wanatuburuza kama magunia ya mpunga? Wajipange
 
Back
Top Bottom