Africa most developed Countries on 2021

Africa most developed Countries on 2021

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,716
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
 
Mbona kama umefurahia jamaa?
 
Kama hata Zambia wametushinda na hawana bandari wala natural resources kama sisi basi CCM ijidhamini kama wanatakiwa kuwa madarakani au la. Ukiangalia baadhi ya hizo nchi demokrasia ilichukua mkondo wake. Huku kwetu ccm imeminya demokrasia na matokeo yake ndiyo haya ya kutokuwa na maendeleo. Swala lingine ni ruswa na ubadhirifu wa mali za uma. Pesa nyingi ambazo zingetumika kwa maendeleo zimeishia mikononi mwa watu. As far as CCM will continue to rule this country don’t expect much in terms of development. Myself I have given up. Kinachoumiza kingine ni deni la taifa kuongezeka. Hii nayo inatia shaka kwa uogozi huu wa CCM. Wenyewe hata aibu hawana. Bado wanaona kama vile wamewafanyia watanzania kazi nzuri kumbe kila siku tuakwenda chini. Angalia sasa wameshindwa hata kuwaongezea mishahara wafanyakazi kwa miaka yote hii. Watanzania tuna safari ndefu.
 
Serikali ya Tanzania inaongoza maiti,
Watanzania wengi ni wtu kudemka tuu,
CCM ikisema oyeee na wao hujibu Oyeeee.
Hakuna watu kama Kenya
Wakiambiwa Oyeee ikiwa si Oyee husema Ziiiii .

Nchihii ina mijitu ya kujikomba tuu Kwa watawala ili kujaza Matumbo Binafsi.Basi

Mtu kama Polepole ,alivyokuwa wakati wa Tume ya Warioba na alivyo sasa.
Hii ndiyo Sampuli ya watu wetu.
Uchumi umeanguka kutoka 6.9% hadi 4.7% hii ni SET BACK kubwa kwa taifa.
Yule jamaa JPM kairudisha nchi miaka 20 nyuma kiuchumi. Kisingizio Corona lakini ukweli ni pamja na namna ya alivyo tawala nchi imechangia kudmaza uchumi.,,,,,,,
 
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
Kwani mama Hassan na timu yake wameiona orodha hiyo?

Wamesemaje?

Hilo ndilo jibu tunalosubiri kusikia na "KAZI IENDELEE"

Ni aibu kwa nchi kama Kenya kuwa juu yetu.
 
Africa's Most Developed Countries on 2021
Kama ni on 2021 wako sahihi (ilikuwa ni utabiri) lakini kama ni in 2021 Tanzania tuko mbele sana na hatuko lockdown, kazi inaendelea.
 
Libya wana utajiri wa asili....
Alichozungumzia mara zote ni kukosekana amani.

Mnampenda sana Jiwe....[emoji16]
Jiwe alizuzuka na mauniform ya Gaddafi ya kijeshi na aliposikia ulloa umepewa allowance akachoka kabisa
 
Hata kama, sisi tupo uchumi wa kati tumewashinda
 
Back
Top Bottom