A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

ProMagufuli

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
219
235
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.

Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.

Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.

Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.

Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.

But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.

Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?

Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!

Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.

I'll always remember Hayati JPM.

I'm ready kupopolewa na Ufipa.

Muwe na usiku mwema.
 
Tread softly, okay!??? We loved him so much, but the bitter truth is, he is no more. You can choose to live in unforgiving bitterness ama you can choose to move on ^positive-mindednessly.^ The best way to honor his legacy is to emulate his profound spirit of unassuming patriotism, deep & real love for his people, efficient and productive hardwork and creative leadership style.

I love the way he went his way while we still needed him the most. Sounds confusing, yeah!??? Not quite really!!! In my opinion, the seemingly brief moment has witnessed enormous breakthroughs so much so that individuals of goodwill cannot help but ponder and wonder. He has delivered his best. In the language of a common man, ^Magufuli ametufumbua macho; tumeyajua mengi sana yaliyokuwa yamejificha.^ If we cannot learn anything worthwhile from his five years of noble leadership, then we wouldn't learn anything even had he stayed in power forever.

It is as though the good angels alerted him from the outset of his regime, that he had no time to lose. He worked with dispatch. He worked day in and day out, spending sleepless nights dreaming, as it were, and planning as best as he could for the wellbeing, sustainable development & future prosperity of his country and people. He has shed an amazing light never again to be extinguished. The path he trod & traced can never be erased.

Even his vicious enemies know very well that he was an exceptional figure -- not only that he knew what his people needed the most, but he had all it takes to get them there in order to realize their long-delayed desires. He led by example. Nothing, in his opinion, should be allowed to hamper this singular goal. Though very humble, he was tough & undaunted. Though a character of unquestionable generosity, he very well understood mathematics of economization. He was also charismatic, affable, widely loved and lovable. He loved and feared God, too.

He always found opportunity to talk to and with his people in a manner with which close, familiar and mutually respecting friends and companions would usually address each other. He listened to them. He felt their cries. He heard their problems and even solved most of them on the very spot. He would jokingly but seriously tell his eager and cheering crowds, ^Mambo mengine siyo ya kungoja na kuyachelewesha; tunayamaliza hapahapa. Au nasema uongo ndugu zangu?^ No wonder his successor President Samia has it as her new slogan, ^Zege halilali!^

He hired and fired the way a real responsible boss & manager would normally do, or more acurrately, would be expected to do. He took orders from no one. He paid no attention to detractors. Never even once was he cowed into submission nor compliance by selfish imperialists, self-designated super- and hyper-powers of the world, nor their cartels and all their comprehensive channels of exploitation. He fought them like hell -- left, right, center -- every whichway that their venomous heads, so to speak, seemed to protrude and intrude into the nation's internal affairs. And he triumphantly won!

Sometimes when the goings seemed to get tough and rough, he would eloquently reassure his subjects, ^Jamani, eti na madudu haya nisiyaseme? Kwa kumwogopa nani? Sasa nilichaguliwa ili niwe Rais wa nini? Si afadhali nife lakini ukweli nimeusema?^ He was the true definition of man of, for and by the people. Those who call him the true Son of Africa are clearly unmistaken. He was a Pan-Africanist, the incarnate, combination and embodiment of the spirit of the late Mwalimu Nyerere and all great leaders Africa has ever had.

When PLO was once asked why he thinks Magufuli ranks as one of the best presidents, the famous law professor replied solidly: ^Magufuli had a clarity of vision that was underpinned by true patriotism. One thing among many that he has taught us is that it matters the most who is at the top -- leadership matters and Magufuli was its doctor. All African leaders should take a benchmarking tour under the tutorship of John Magufuli in order to learn the finer points of governance.^

That makes me even happier than almost all sadness combined. I would rather honor his glimmering legacy by emulating his much-coveted rare spirit, rather than wail in an unfathomable, never-ending, fruitless uncertainty. Surely and wilfully, may his name be preserved in all the capitals, not of Africa, as one notable president recently remarked during his send-off address, but rather in all the capitals of our hearts, brains, souls and actions. Those who assert that once legends are born they never go, are just right on a point of highest note.
 
Time will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.

Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe.
 
Habari

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.

Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?

Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?

Je, Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?

Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
 
Tusilazimishane kwamba eti kafanya mazuri tu oooh blabla, kila mmoja ana haki ya kuona katika angle yake, na sio dhambi ndo diversity ya ubinadamu.

Marehemu atabaki kwa historia kama rais aliyebinya demokrasia zaidi, rais alieiba kura kupindukia, rais aliyefunga kila aliyemkosoa, rais aliyeongoza kufilisi matajiri kwa faida yake, rais aliyepoteza 1.5 trillion, rais aliyejali zaidi kijijini kwake Chato kupitiliza na mengine mengi.
 
Atake asitake tutamlazimisha..

Point to note Mungu ndo mpangaji wa vyote somo dogo tu tunafundishwa..
Kila siku binaadam anajifunza.

Na hatuwezi sema kitu maana amefariki kabla hajamaliza hata huo muhula wa pili,kwahiyo haifai kuitwa funzo hili maana halina uhalisia.
 
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali??

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
huwa nawaambia hawa nyumbu 6 humu.

watembee na huko nje wajionee namna chama kilivyojifia.
 
Acha uongo
 
Kwanini huamini kwenye kile unachokisema? Jenga hoja acha kijihami, tafuta kuna Uzi wa MATAGA humu unaeleza kuwa Magufuli alikiri Mara kadhaa kuwa ni mgonjwa!

Nakushauri watafutie wanao ugali, Magufuli tulimpenda ila ameshapumzika, maisha lazima yaendelee na Mungu akutie nguvu utoke kwenye hii denial
unawaza ugali muda wote,kuna watu wanaiwaza tanzania kwa ujumla wake au dunia.
 
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniumaa sana. Nawaza hivi kwa nini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.

Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.

Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.

Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo alikumkatisha tamaa alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.

Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.

But i believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death..??

Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje..!

Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini..? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.

I'll always remember Hayati JPM.

I'm ready kupopolewa na Ufipa.

Muwe na usiku mwema.
Nenda kalifukue muliweke sehemu muwe mnaesujudia k.enge nyinyi, now Rais Samia, uyo mungu wenu kashaoza kabaki mifupa
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom