Tofauti ya Mbunge wa Jimbo, Viti Maalumu na wa Uteuzi wa Rais kimaslahi ni vipi?

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Hivi wabunge wa viti maalum nao maslahi yao ni sawa na wale wa Jimbo? So Bashiru na Polepole nao wanakamata shilingi milioni 11?
 
Yes lakini hawana mfuko wa jimbo. The end of Polepole is 2025, atapata wapi jimbo?
Akitaka yapo mengi tu, labda kama huyaoni. Zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa sasa hawakua wabunge kabla ya 2021. Hivyo acha kujitekenya na kujichekesha mwenyewe. Jiulizi waliokuwa wabunge wateule awamu iliyopita kwa sasa ni wabunge wa namna gani kisha jijibu.
 
Hiv kaz Yao n nn hawa kina pole pole hawa
Wanaliwakilisha jimbo la Ikulu na wapo loyal kwa aliyewateua. Kwa hiyo kazi yao ni kutetea kila kitu ambacho Serikali inachopeleka Bungeni.

Kimsingi hatuwahitaji kwa mfumo wa sasa. Ni upuuzi Rais kupewa nafasi 10 zaidi kuteua wabunge kwenye Bunge lenye watu zaidi ya 300+ kwa kile kinachoitwa kumpa wigo mpana wa kuteua mawaziri wake
 
Mfuko wa jimbo haina maana, issue wanakamata posho, mshahara, na kiinua mgongo.
Yes, wanamaslahi yote Kama wabunge wengine. Na 50million Koonya mgogno. Allowances hizo usiseme tena, kiboko. Hivi huo I kila mtu a Ayala Kuwait mbunge. Sasa hivi wako Dodoma for 6 months eti budget, allowance kibao.
 
Wanaliwakilisha jimbo la Ikulu na wapo loyal kwa aliyewateua. Kwa hiyo kazi yao ni kutetea kila kitu ambacho Serikali inachopeleka Bungeni.

Kimsingi hatuwahitaji kwa mfumo wa sasa. Ni upuuzi Rais kupewa nafasi 10 zaidi kuteua wabunge kwenye Bunge lenye watu zaidi ya 300+ kwa kile kinachoitwa kumpa wigo mpana wa kuteua mawaziri wake
Niambie mbunge gani hupinga? Hata Hilo bunge ni kupoteza muda na hela zetu. Wote ni ma yes men. Wako huko kwa matumbo Yao.
 
Akitaka yapo mengi tu, labda kama huyaoni. Zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa sasa hawakua wabunge kabla ya 2021. Hivyo acha kujitekenya na kujichekesha mwenyewe. Jiulizi waliokuwa wabunge wateule awamu iliyopita kwa sasa ni wabunge wa namna gani kisha jijibu.
I agree with you! But I wouldn’t vote for Polepole, ni mtu ambaye naona anajikomba! Looks to me like a primary school boy!
 
Back
Top Bottom