Wanasiasa wa Tanzania msipende na kufurahia mno Ushindi wa 100% katika Chaguzi zenu kwani mnadumazwa Kifikra na Wapiga Kura Wanafiki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,882
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.

Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha zaidi kwakuwa nitajua Demokrasia ya Kweli na isiyo na chembe ya Unafiki imefanyika na Ushindi wangu huo ni wa halali kabisa

Kiongozi anayeshinda Uchaguzi kwa 100% Votes huwa anakuwa ameshalemazwa Kifikra, anafanywa Zwazwa fulani, anasanifiwa, hatokuwa na jipya na huenda hata hao waliompigia Kura hizo wakati wanampa ( wanampigia ) Rohoni Kwao / Mioyoni Mwao walikuwa Wakimzomea na Kumcheka kwa Kumdharau wakijua hana ( hatokuwa ) na jipya lolote Kwao.

Kiongozi anayeshinda Uchaguzi kwa 65% Votes Kwanza atakuwa na Adabu, ataongoza kwa Umakini, hatopenda Kuharibu, ataharakisha Maendeleo, ataheshimu zaidi Demokrasia na ataamini kuwa ana Changamoto nyingi za Kuzikabili ili aweze kwenda sawa na wale 35% waliomkataa katika Sanduku la Kura.

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuwasisitiza Wanasiasa wa Tanzania kuwa kamwe msipende Kushinda Ushindi wa Kishindo ( 100% Votes ) kwani mnakuwa Mmechaguliwa tu Kinafiki na Kiuwoga zaidi pengine kutokana na Nafasi ( Nyadhifa ) ila Kiuhalisia mnakuwa si pendekezo lao.

Na hata Demokrasia ya Kweli inakuwa haipo kwani katika Falsafa za Kiuongozi kwa Watu wanaojitambua ( wenye Akili sawa sawa ) wanaamini kuwa hakuna Binadamu asiyekuwa na Mapungufu ( aliyekamilika ) hivyo kutokea Kundi la Watu Kukupinga ndiyo takwa halisi la Kiafya ndani ya Demokrasia ya uhakika ( ya kweli )

Naomba niishie zangu tu hapa niwaacheni mkishangilia Ushindi wenu wa Kishindo ( 100% Votes ) huku GENTAMYCINE nikiendelea zangu tu Kununa ( Kukasirika ) kwa Upuuzi uliofanywa na Mwamuzi ( Referee ) wa leo huko Nelson Mandela Stadium kwa Kuinyima Penati ya halali ( haki ) kabisa Prisons FC dhidi ya Yanga SC.
 
Naunga mkono hoja.

Nililisema jambo hili kwa kifupi kwenye uzi fulani humu leo asubuhi, kuwa binafsi navutiwa zaidi na ushindi wa 80% au % yoyote, lakini katu si 100%.

Kutaka kwao 100% kumewalemaza akili kiasi cha kuona kama vile 99% kushuka chini ni failure(refer hotuba ya Pinda pale mwisho wasiwasi aliouonesha).

Unashindaje kwa 100% kwenye uchaguzi wenye wapigakura 1800+? Huo si ubakaji bali ni ulawiti kabisa wa demokrasia wa kimyakimya.

Muasisi wa hizo tabia za kishamba ni mwendazake.
 
Hili suala la kupata 100% kwenye chaguzi linakera sana kwa mtu yeyete mwenye fikra pevu. Mbaya zaidi ni kuwa hata yule mgombea huwa anajua kuwa wapiga kura wake 'wamebanwa'ili ipatikane hiyo asilimia. Na isipopatikana kwente sanduku inatengenezwa mezani.
 
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.

Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha zaidi kwakuwa nitajua Demokrasia ya Kweli na isiyo na chembe ya Unafiki imefanyika na Ushindi wangu huo ni wa halali kabisa

Kiongozi anayeshinda Uchaguzi kwa 100% Votes huwa anakuwa ameshalemazwa Kifikra, anafanywa Zwazwa fulani, anasanifiwa, hatokuwa na jipya na huenda hata hao waliompigia Kura hizo wakati wanampa ( wanampigia ) Rohoni Kwao / Mioyoni Mwao walikuwa Wakimzomea na Kumcheka kwa Kumdharau wakijua hana ( hatokuwa ) na jipya lolote Kwao.

Kiongozi anayeshinda Uchaguzi kwa 65% Votes Kwanza atakuwa na Adabu, ataongoza kwa Umakini, hatopenda Kuharibu, ataharakisha Maendeleo, ataheshimu zaidi Demokrasia na ataamini kuwa ana Changamoto nyingi za Kuzikabili ili aweze kwenda sawa na wale 35% waliomkataa katika Sanduku la Kura.

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuwasisitiza Wanasiasa wa Tanzania kuwa kamwe msipende Kushinda Ushindi wa Kishindo ( 100% Votes ) kwani mnakuwa Mmechaguliwa tu Kinafiki na Kiuwoga zaidi pengine kutokana na Nafasi ( Nyadhifa ) ila Kiuhalisia mnakuwa si pendekezo lao.

Na hata Demokrasia ya Kweli inakuwa haipo kwani katika Falsafa za Kiuongozi kwa Watu wanaojitambua ( wenye Akili sawa sawa ) wanaamini kuwa hakuna Binadamu asiyekuwa na Mapungufu ( aliyekamilika ) hivyo kutokea Kundi la Watu Kukupinga ndiyo takwa halisi la Kiafya ndani ya Demokrasia ya uhakika ( ya kweli )

Naomba niishie zangu tu hapa niwaacheni mkishangilia Ushindi wenu wa Kishindo ( 100% Votes ) huku GENTAMYCINE nikiendelea zangu tu Kununa ( Kukasirika ) kwa Upuuzi uliofanywa na Mwamuzi ( Referee ) wa leo huko Nelson Mandela Stadium kwa Kuinyima Penati ya halali ( haki ) kabisa Prisons FC dhidi ya Yanga SC.
Hupendi 100%? Utakataa? Mkeo alikupa per cent ngapi ? Baba yako je, unampa ngapi? Maradona? Na Karpov? Jaji Warioba angepata 100%? Makamanda mngekaa pembeni kwa muda mjitafakari navhalibya hewacitulie. Mtajidhalil8sha na kujidhalilisha, kazi inaendelea.
 
Isitoshe Samia hakushinda kwa 100% kwani kuna wajumbe 14 hawakupiga kura kuonyesha kutokumkubali na Samia. Maana wajumbe walikuwa 1876 na waliopiga kura ni 1862!
 
Kura zikihesabiwa chini ya uangalizi wa Ndugai unatagemea kura iliyoharibika ama Ile ya hapana itaheshimiwa kweli?
 
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.

Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha zaidi kwakuwa nitajua Demokrasia ya Kweli na isiyo na chembe ya Unafiki imefanyika na Ushindi wangu huo ni wa halali kabisa

Kiongozi anayeshinda Uchaguzi kwa 100% Votes huwa anakuwa ameshalemazwa Kifikra, anafanywa Zwazwa fulani, anasanifiwa, hatokuwa na jipya na huenda hata hao waliompigia Kura hizo wakati wanampa ( wanampigia ) Rohoni Kwao / Mioyoni Mwao walikuwa Wakimzomea na Kumcheka kwa Kumdharau wakijua hana ( hatokuwa ) na jipya lolote Kwao.

Kiongozi anayeshinda Uchaguzi kwa 65% Votes Kwanza atakuwa na Adabu, ataongoza kwa Umakini, hatopenda Kuharibu, ataharakisha Maendeleo, ataheshimu zaidi Demokrasia na ataamini kuwa ana Changamoto nyingi za Kuzikabili ili aweze kwenda sawa na wale 35% waliomkataa katika Sanduku la Kura.

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuwasisitiza Wanasiasa wa Tanzania kuwa kamwe msipende Kushinda Ushindi wa Kishindo ( 100% Votes ) kwani mnakuwa Mmechaguliwa tu Kinafiki na Kiuwoga zaidi pengine kutokana na Nafasi ( Nyadhifa ) ila Kiuhalisia mnakuwa si pendekezo lao.

Na hata Demokrasia ya Kweli inakuwa haipo kwani katika Falsafa za Kiuongozi kwa Watu wanaojitambua ( wenye Akili sawa sawa ) wanaamini kuwa hakuna Binadamu asiyekuwa na Mapungufu ( aliyekamilika ) hivyo kutokea Kundi la Watu Kukupinga ndiyo takwa halisi la Kiafya ndani ya Demokrasia ya uhakika ( ya kweli )

Naomba niishie zangu tu hapa niwaacheni mkishangilia Ushindi wenu wa Kishindo ( 100% Votes ) huku GENTAMYCINE nikiendelea zangu tu Kununa ( Kukasirika ) kwa Upuuzi uliofanywa na Mwamuzi ( Referee ) wa leo huko Nelson Mandela Stadium kwa Kuinyima Penati ya halali ( haki ) kabisa Prisons FC dhidi ya Yanga SC.
Yanga kama CCM, imebebwa na refa sana tu.
 
Hata siamini kama kweli huwa wanapata huo ushindi, watafutwe neutrals wawe wanahesabu hizo kura, watu waliozoea kutawala kwa kuiba kura hawaaminiki.
 
Hupendi 100%? Utakataa? Mkeo alikupa per cent ngapi ? Baba yako je, unampa ngapi? Maradona? Na Karpov? Jaji Warioba angepata 100%? Makamanda mngekaa pembeni kwa muda mjitafakari navhalibya hewacitulie. Mtajidhalil8sha na kujidhalilisha, kazi inaendelea.
Imbecile.
 
Back
Top Bottom